pepo ya Mabwege
Senior Member
- May 18, 2017
- 138
- 117
Naomba kuuliza ile sanamu ya MTU aliyefungwa ninyororo mikono yake miwili , ikiwa imekatika au kuachana katikati, eneo la chuo kikuu cha DSM ( sanamu hii ipo katikati ya Geti Maji na Utawala) mkono Wa kulia kama unaelekea utawala,
Naomba kuuliza ina maana gani na imewekwa na nani kati ya chuo na Serikali ya wanafunzi.
Gafla nimekumbuka nyimbo za sarafina.
Naomba kuuliza ina maana gani na imewekwa na nani kati ya chuo na Serikali ya wanafunzi.
Gafla nimekumbuka nyimbo za sarafina.