Kinondoni sec mpo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kinondoni sec mpo?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kyakya, Jul 24, 2009.

 1. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2009
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 397
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Naona watu wanatafutana humu ndani ya JF, sasa wale wa Kinondoni Secondary School wapo humu!? Wana wa Jariwalla.
   
 2. B

  Bata Senior Member

  #2
  Jul 24, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hawapo:
   
 3. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Tupo wana wa Sharifu, Hoya, Jongo, n.k. Nimesahau jina la yule mama wa kihindi aliyekuwa second master wa Jariwala! Wana wa Kimbwelu..
   
 4. mujydebubyz

  mujydebubyz Member

  #4
  Dec 8, 2009
  Joined: Feb 13, 2007
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ha ah ah ha a ah HOYA (NYAU), Sharif Mzee wa mitusi, Kuna yule mwalimu alikuwa na jicho bovu anaitwa nani nimemsahau kidogo, nasikia baba Jariwala alifariki, Getini alikuwepo Mogella
   
 5. G

  George Jinasa JF-Expert Member

  #5
  Feb 13, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Yule alikuwa mwalimu wa English sijui Ngoya? Unamkumbuka mwalimu Shombe? Yeye alikuwa na magari mabovu ya mkaa. Akitoka kutengeneza magari yake na magrisi anaingia darasani akijifutia magrisi yake kwenye overall na kuanza kufundisha kiswahili. Unakumbuka tulivyokuwa tuna wafanyizia Azaania na Tambaza kwenye mechi za mpira.
   
 6. G

  George Jinasa JF-Expert Member

  #6
  Feb 13, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Tupo ndugu yangu.
   
 7. Ligogoma

  Ligogoma JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2011
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 2,137
  Likes Received: 851
  Trophy Points: 280
  Hivi Sharifu bado yupo jamani, bado anatandika makofi yake!!! Kwa makofi yule mzee alikuwa nomaaa!!! Tujuzane jamani dah!!
   
 8. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2011
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  WALAU akbar,mimi sikutegemea kumkuta ex kinondoni yoyote member JF
   
 9. K

  Kishalu JF-Expert Member

  #9
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 850
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  wengine wengi ni watoto wa Mpande pale Moshi Tech
   
Loading...