Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,197
Hivi huyu si ndiyo mtoto wa mbuge wa zamani wa Rungwe? Nakumbuka alipachikwa pale Rungwe Secondary bila kufauru halafu baba yake alipopata tu Uwaziri akataka ahame akasome ilboru shule ya watoto wa vigogo na akaitosa shule kwanza aliyopachikwa pili iliyokuwemo kwenuye jimbo lake la nyumbani ambalo baba yake ni mbuge.
Dogo usirudi tukuyu baki huko huko Kinondoni
Naona sasa tunaanza kupika zengwe badala ya kujadili issues. Kama jamaa ni kilaza alipachikwa tu Rungwe sekondari, ilikuwaje mpaka akasoma huko alikosoma, au nako baba yake alimpachika kwa kuwa alikuwa mbunge, balozi na waziri? Nafuatlia habari za huyu jamaa lkn so far naona km baba yake si mtu wa namna hiyo(at least bado sijasikia scandal zake), na yeye mwenyewe anaonekana kama ni mtu wa kawaida sana na binadamu wa kawaida tu. Sio kama wale wanaovaa nyadhifa za baba zao.
Ni vizuri tukijadili issues na siyo kuanza majungu.