Mkuu umetisha nimekumbuka mbali sana lazima uwasubiri jirani pale America Chips ya enzi hizo achana na America Chips ya sasa ya wasambaa.Hii ndo shule iliyokuwa na idadi kubwa ya mashori wakali Dar nzima.
Kwa haraka haraka nawakumbula Leyla, Kuluthum, Rehema, Zena, na Nina.
Cc: The Boss
Mkuu umetisha nimekumbuka mbali sana lazima uwasubiri jirani pale America Chips ya hizo hizo acha na America Chips ya sasa ya wasambaa.
Ridhwaa au ipi mkuu?
seriously??!!! kuzidi jangwani,forodhani,zanaki,kisutu??
Unaijua kinondoni mzee?? Kweli unailinganisha na kisutu na jangwani???
Ahahaha!! Jumapili Kilimanjaro Poolside au New Africa 7th floor.Ahahahaaaaaa.....daaaah.
Nimekubali wewe hujaja mjini na gari moshi.
Si umeambiwa kinondoni?? Hiyo unayotaja wewe ni ya juzi juzi tu pale mkwajuni. Ukitaka weke uzi wake utawapata wenzako!!..jamaa anataka muslim shule kongwe kbs dsm
seriously??!!! kuzidi jangwani,forodhani,zanaki,kisutu??
mkuu ile nayo ni muslim na ipo kinondoni.
Mimi siyo zao la shule za aina hii.
Kuna mtu kakuuliza kwamba ww ni zao la shule aina gani au kujishaua????
Teh teh teh!Kuna mtu kakuuliza kwamba ww ni zao la shule aina gani au kujishaua????
Oh hell yeah...and by a long shot.
Unajua kwa nini Kinondoni ilikuwa inasifika kwa kuwa na wanafunzi 'malaya'?
Ni kwa sababu ilikuwa na totoz kali ambazo watu kibao walikuwa wakizifukuzia hadi kujenga taswira miongoni mwa baadhi ya watu kuwa hiyo shule imejaa hao 'm'.
Binafsi siamini kama wanafunzi wa Kinondoni walikuwa wako hivyo.