Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 3,185
- 12,332
Aisee haya mambo sijasimuliwa nilijionea mwenyewe juzi.
Kuna jamaa yetu alikua anaumwa kwa muda mrefu ikabidi kwenda kumsabahi hapo Mwananyamala hospital. Tulipofika ndio hio siku akawa ameruhusiwa kwenda kwake hivyo ikabidi niwape lift hadi wanapokaa.
Ule mtaa nilioyaona aisee ni kufuru, vijana wa kiume wamejipodoa hawana shida yoyote, wamevaa vikaptura wanatembea kwa kukatika kama dada zao. Na ni group la vijana kama wanne hivi.
Ukisema sinza ndio sin city ya dar basi wewe hujafika mwananyamala