Kingwendu noma, ang'oa CCM Kisarawe

Kinachotakiwa ni kuhakikisha tunawakimbiza Magamba hadi waombe poo
 
kiswahili kinapotea kabisa yaani mtu timamu kabisa anaandika kisalawe.... Badala ya kisarawe
nashukuru kwanza umeelewa maana kama usingekuwa umeelewa ungeuliza. Big up mkuu kiswahili chetu sote
 
kingwendu kasema ushindi mapemaaaa kabla jogoo hajawika.......mwaka huu watafute chaka!!!
 
Naomba namba ya kumchangia Mh. Kingwendu kwa Mpesa. NIPO SERIOUS
 
Dr. Slaa alikuwa anahitaji wabunge 50 tu kumbe hajui kuna common wananchi mamilioni kwa mamilioni wamemfuata Kamanda Lowassa...!!

#UlipoTupo..
 
Are you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo
Unaumwa wewe, mbona mchawi sijui mganga wa kienyeji korogwe ni Mbunge, utamfananisha na Mhe. Kingwendu? Umewahi kumsikiliza Kingwendu au unaropoka tu?
 
Kiswahili kinapotea kabisa yaani mtu timamu kabisa anaandika kisalawe.... badala ya Kisarawe

Huyo aliandika kisalawe ndio yuko sahihi kama umesema lugha za kibantu pwani ya Tanzania hakuna kitamkwa "r" hao wanaita kisarawe ndio wamepotosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…