Kingunge: Wanaomtukana Warioba wanaitukana CCM

Kingunge: Wanaomtukana Warioba wanaitukana CCM

Riziki Magembe

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
886
Reaction score
206
Mzee kingunge amewataka wajumbe wa bunge la katiba watunze hishima na maadili mbele ya viongozi wa nchi,amesema wanao mtukana warioba wana itukana ccm;mzee kingunge ameyasema hayo jana bungeni wakati wa kuhitimisha mjadala wa bunge la katiba jana
 
Mzee kanena kweli kwani warioba ni ccm damu.
 
Tena kutukana Mteule wa rahisi Ni sawa na kumtukana rahisi mwenyewe. Na rais ananyamaza tu akichekelea kama zuzu
 
Mzee Kingunge you have said it all, nilikuwa nasubiri kwa hamu atokee kiongozi wallao 1 tu atamke kuwa wale wote waliorusha maneno machafu kwa tume ya Waryoba kwa kweli hawakuwa na haki ya kufanya hivyo kwani tume hii imeteuliwa na Mheshimiwa Rais akiwa kazingatia weledi wa wajumbe wote. Kama rasimu haikufikia matakwa ya baadhi ya viongozi na wananchi katika nafasii zao mbalimbali likiwemo bunge la katiba basi nguvu za hoja zingetumika na si kejeli kama hizo tulizoziona. Naamini Vikao vya ndani vitarekebisha hali hii isiyovumilika kutojitokeza kipindi kijacho. Mwisho wa siku ni kumdhalilisha mteule wa tume, haipendezi hata kidogo
 
Ndivyo walivyo tumwa name viongozi wao wa ccm kwa hyo siwezi shanga kabisa
 
Tena kutukana Mteule wa rahisi Ni sawa na kumtukana rahisi mwenyewe. Na rais ananyamaza tu akichekelea kama zuzu

Siyo hivyo tu, amewahi kuwa Waziri mkuu, makamu wa Rais, na ni lawyer international. Kada wa Chama cha Mapinduzi.
 
Mzee kingunge amewataka wajumbe wa bunge la katiba watunze hishima na maadili mbele ya viongozi wa nchi,amesema wanao mtukana warioba wana itukana ccm;mzee kingunge ameyasema hayo jana bungeni wakati wa kuhitimisha mjadala wa bunge la katiba jana
That is very true, Warioba ni kads mkubwa wa CCM, si hivyo tu, jinsi chama chake cha CCM kinavyomwini amewahi kushika nafasi ya pili kwa ukubwa katika serkali ya CCM, ambayo ni makamu wa kwanza wa Rsis na waziri mkuu wa serikali ya muungano wa Tanzania .

Lakini vile vile tukumbuke kuwa uteuzi wa Jaji Warioba kuwa mwenyekiti wa Tume ya kukusanya maoni ya wananchi, haujafanywa na Dr Slaa au Mbowe, bali uteuzi huo umefanywa na mwenyekiti wa CCM Taifa, Jakaya Mrisho Kikwete!

Kwa maana nyingine kumtakana Jaji Warioba ni kama indirect umemtukana JK kwa kufanya uteuzi kama aliyekurupushwa usingizini!!!
 
Back
Top Bottom