HUYU MZEE KWANZA MCHAWI NA NDO MAANA AMEENDA BUNGE LA KATIBA KUPITIA WAGANGA WA KIENYEJI.SASA SIJUI WALILENGA AENDE KULOGA BAADHI YA MAMBO WATU WAWE WANASEMA ndiyoooo,kama walivyozoea magamba.
UKAWA noma wamepokea wachawi mafisadi na majizi
UKAWA noma wamepokea wachawi mafisadi na majizi
Vijana gani wanaojitambua au unawazungumzia wale waopewa viroba na ukawa
Mlipokua naye mlimuita hayo majina? Watch out Gambaz
Ndio Mganga (read MCHAWI) wa CCM, ameingia kwenye CA kama mwakilishi wa waganga wa kienyeji (wachawi). Karne ya 21 bado CCM inaamini katika UCHAWI badala ya SAYANSI!
He is a true brainwashed fanatic of ccm.that's all.
Katika kitu ccm wanaomba kisiondoke Tanzania ni UMASKINI, na Mzee Kingunge ndie fundi ( mtaalam ) anayeifanya Tanzania isisonge mbele kimaendeleo kwa kutumia ufundi wake wa nguvu za giza. Siku Watanzania watakapo elimika basi ccm watakuwa hatiani katika uwepo wa uso wa Tanzania.
Huyu ndiye mchawi wa Chama na ameingia kwa sasa si kwa ukongwe wake kisiasa bali kuwakilisha kundi la wanganga wa kienyeji!!! Shame on you CCM!!! KWa hiyo yuko pale kupindisha akili za wachache ambao hawataweza kupambana na yale majini yake ili waunge mkono serikali mbili.Kwani umeshaona amechangia chochote tangu limeanza? Kama alichangia sikusikia wakuu, yuko kimya tu akinukuu mambo ambayo usiku atayafanyia tunguli. Wakati mwingine mnamuona pale amekaa kumbe ni kivuli yeye yuko bizy kuwasha vibatari mchana kupeperusha akili za watu kuhusu katiba ya CCM!!