Kingunge Ngombale Mwiru


Hata iwe vipi? CCM Tayari wanayo katiba yao mfukoni na wanachofanya ni kupoteza muda, hivi wao ndo wenye maamuzi ya kuamua zaidi ya wananchi? Nimefuatilia kwa kina wao suala la ukweli wao CCM Ni kupindisha uongo kuwa ukweli, hebu ona walivyojipanga kila kamati na je kulikuwa na haja gani wakati wao kujadili ili hali wanafuata msimamo wa chama chao badala ya mawazo ya wananchi, mi naona hapo ni kiini macho tu katiba ilishaandaliwa na CCM na kinachofanyika ni kutuhadaa tu. MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRIKA
 

Ndiyo maana mkuu Ctr nimeacha kabisa kuangalia hili bunge, nikirudi hata nyumbani jioni niko busy na CNN na BBC tu. Wa p u u zi sana hawa. Huwezi kulazimisha yasiyolazimishika, Watatuletea shida sana miaka ijayo tunapoelekea uzeeni vita itaibuka hapa sisi wazee ndiyo tutaumia. Watoto wetu na wajukuu watateseka kwa jambo la wazi linaloonekana. SSM mmepoteza dira ya watanzania.
 

Mtamueleza babu mtamjua kama mganga au mchawi lakini tumemtuma ahakikishe anarudi na Serikali 2 majuzi kamjaribu kidogo tu bwana mdogo Nasari akatoka nje ya msimamo akaulizwa Siri wazi? Akakakurupuka tupige ya wazi baadae akasema ah! Yasiri ile ndio babu alikua anajaribu mambo yake sasa subirinii siku ya kupigia kura mtamsikia Mabosi wenu Mbowe na Lipumba wanavyosema 2 kwa vile tatu zitatubana ndipo utajua babu ni kamati ya Ufundi na anatisha
 
Huyu toka nimjue hajawahi kuwa na mchango wowote zaidi ya kung'atang'ata meno.

KINGUNGE ni mweupe kichwani,hana mchango wowote na ndio wachawi wakuu wa ccm.

Ameingia BK kama mganga wa asili.
 
Ndio Mganga (read MCHAWI) wa CCM, ameingia kwenye CA kama mwakilishi wa waganga wa kienyeji (wachawi). Karne ya 21 bado CCM inaamini katika UCHAWI badala ya SAYANSI!

Jamani hii ni kweli au JOKE?
 
Kusema kweli hata mimi toka nimezaliwa miaka ya 1970's namsikia mpaka leo. Lakini mtu akiniuliza "huyu mzee mchango wake mkubwa ni nini ktk nchi hii?", jibu sahihi sina, labda nitakwambia ni KADA mkubwa au mkereketwa mkubwa wa CCM. Zaidi sijui
 
Umesahau kitu hapo, yeye ndio ali-draft azimio la zanzibar

 
huyu ndie mwana ccm asiyeishi kinafiki ndani ya chama chetu cha mapinduzi, huyu ndie pekee aliyejua kuwa 2015 tanzania hatutakuwa na katiba mbadala ya ile ya 1977, akajitokeza hadharani na kumpinga mwenyekiti wetu mh.kikwete alipoiridhia agenda ya katiba mpya, alibainisha kuwa 2010 election hatukuahidi watz katiba mpya hivyo ni makosa kwa m/kiti wa ccm taifa kukiuka ilani ya uchaguzi iliyomuweka madarakani....leo yuko ndani ya bunge la katiba akisimamia anachoamini....hiyo yatosha kumuelewa kingunge ni nani.?...tunachofanya dodoma kingeliweza kufanywa na bunge la muungano ......ila kwa sababu watu mnataka kuonekana ni wajenga wacha tufanye hivyo
 

Pia umesau huyu ni mzimu wa chama twawala
 

Kwa hali ilivyo sasa, hata Juliasi angekuwepo leo angewaruhusu kina Makongolo wawe mapepari.
 
M P U M B A V U amesema moyoni mwake kuwa hakuna MUNGU. Ndiyo kundi la KINGUNGE.Anamwakilisha SHETANI ndani ya Bunge. ni M P U M B A V U aliyechagukiwa na M P U M B A V U.
 
kabla sijamjadili naomba mwenye kujua anitajie UMRI WAKE KWANZA ! Ninachojua ni kwamba hana dini baasi! Ila Sina uhakika kama anaabudu mizimu .
 
M P U M B A V U amesema moyoni mwake kuwa hakuna MUNGU. Ndiyo kundi la KINGUNGE.Anamwakilisha SHETANI ndani ya Bunge. ni M P U M B A V U aliyechagukiwa na M P U M B A V U.

asante kwa kututonya mkuu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…