rallphryder
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 3,630
- 1,444
Kauli yako inaonekana haina uadilifu. Wewe ulitaka atumie madaraka yake kama baba Riz. Huyu mzee ni muadilifu na anafahamu taratibu za chama ndio maana hakuweza kutumia madaraka yake vibaya.
Wewe umekijuaje? au na wewe ni mzee? basi kwa taarifa yako dotcom huenda ndio hawamjui sana ila kwa sisi wa 70 mpaka late 80 anajulikana na kulikuwa kulikuwa kunatumika neno KINGUNGE kuonesha mtu mzito au mwenye wadhifa fulani. Ficha ujinga wako kama hujui
Wananchi wa wapi? Harafu nyie wazee ndio mmefanya nchi imefika hapa ilipo ujana wako woote uliridhika tu kuongozwa na Serikali ambayo inamjari mgeni kuliko raia wake
Kuna majina mawili muhimu ya watanzania ambayo yanatumika kumwelezea mtu ni Kingunge na Kihiyo positive and negave respectivelyWewe umekijuaje? au na wewe ni mzee? basi kwa taarifa yako dotcom huenda ndio hawamjui sana ila kwa sisi wa 70 mpaka late 80 anajulikana na kulikuwa kulikuwa kunatumika neno KINGUNGE kuonesha mtu mzito au mwenye wadhifa fulani. Ficha ujinga wako kama hujui
Anao wafuasi kibao! Hakuna MTU mwingine aliyekuwa mfuasi wa ccm kwa dhati kama Kingunge! Ukiona fisi ameizira mifupa, ujue hiyo mifupa haimfai MTU yeyote! Kingunge na ccm ilikuwa kama fisi na mifupa. Ukiona kingunge amekisusa ccm, ujue ccm haifao na haitengenezeki tena!
Unapotaja wazee walioifikisha nchi hii pabaya anza na mwenye kadi namba 8 kizee kilichokoboka hadi meno kinaitwa Kingunge hata dini kizee hicho hakina kwa hiyo hakina hata hofu ya MUNGU.
Si tu hakina wafuasi.Kilikuwa kinajulikana zaidi kwa viongozi wenzie wa CCM wa juu lakini sio wanachama.Hata kwao Kipatimu hawakijui wanaokijua ni wazee wachache walio sawa na umri wake.
Hata CCM walishakibwaga muda mrefu kwenye uongozi.Wakati wa mchakato kumtafuta mgombea uraisi kwa tiketi ya CCM hicho kizee hakikuwa mjumbe wa kamati kuu,halmashauri kuu wala mkutano mkuu.Ukisikia kinasema taratibu hazikufuatwa ni kwa kuambiwa na Lowassa.Chenyewe hakijui yaliyoendelea ndani ya vikao zaidi ya kuambiwa.Hakana original data.Waandishi wa habari wakabane wakaulize ulijuaje mchakato ulivyokwenda wakati wewe si mshiriki wa vikao.
Hako kazee hakana nguvu kisiasa kama kanavyojinadi kangekuwa na nguvu ya kisiasa Lowasa asingekatwa jina na CCM.Ni kazee fulani kababaishaji ka mjini.
Hawa jamaa walianza na mungu na sasa wanamaliza na Shetani.Unapotaja wazee walioifikisha nchi hii pabaya anza na mwenye kadi namba 8 kizee kilichokoboka hadi meno kinaitwa Kingunge hata dini kizee hicho hakina kwa hiyo hakina hata hofu ya MUNGU.
Fedha fedheha! leo kingunge ni wa kutumwa kazi na subordinate wake Lowasa!!
Kagundua makosa na ndio sababu unaona anasupport mabadiliko vp wewe unafurahia tu hujui kuna wanao watapata tabu Kwasababu ya raha yako ya siku moja???
Fedha fedheha! leo kingunge ni wa kutumwa kazi na subordinate wake Lowasa!!
Mganga anapoingia uwanjani kuisaidia timu yake.
Hawa jamaa walianza na mungu na sasa wanamaliza na Shetani.
Na wazee kama kina Warioba wakisimama jukwaani ni fedha fedheha. Acha kijitekenya mwenyewe.
Wakati wa mabadiliko ukifika hakuna wakupingana nao, huwezi amini thamani ya Kinginge imekua kubwa mara dufu zaidi ya Slaa. Wakiitisha mkutano leo hii, Kinginge atapata wafuasi wengi. Kila jambo na wakati wake.
Hao wote wametumwa na kitu kinaitwa mabadiliko!