little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 2,257
- 4,362
Sahihi kabisaa hao hao Trc ni mwaka 2013 na 2015 waliletewa vichwa vipya kabisa vya treni kutoka marekani katika kampuni ya Electromotive Diesel (EMD) ni vya kisasa kabisa ila kavitazame leo.kwa speed ya treni inawezekana, lakini bahati mbaya tatizo letu watz speed sio kigezo wala tatizo... usimamizi wake ndio utaashangaa na wala hautaamini macho yako...
rejea mradi wa mwendokasi.
Vp mshaanza kuipanda,Dec hiyoDecember Tutaanza Kuipanda Dar Es Salaam ~ Morogoro
HahahahaMpaka Sasa Lazima Waziri Aje Na Sound Mpya
Nampenda mama yetu ila sina Imani naye sababu hana muelekeohii reli itakuwa mkombozi sana wa uchumi, na itakimbiza sana uchumi kwenye maeneo inakopita. na hii ndio legacy kubwa mbayo tutamkumbuka magufuli nayo. bado Samia, afanye kitu kitakachotufanya tumkumbuke na yeye. nampenda mama yetu na nina imani naye.
December Tutaanza Kuipanda Dar Es Salaam ~ Morogoro
Dec ya mwaka gani mkuu?December Tutaanza Kuipanda Dar Es Salaam ~ Morogoro
Yani kuchelewesha mradi unaita Ujanja?Serikali Imefanya Ujanja Mpaka 2022 Mwezi Wa Nne
Mwendo ameumaliza R I P JPM17.03.2021 Alipolala Mauti Dkt John Pombe Joseph Magufuli
Apumzike Kwa Amani
Mabasi ya akina Shabiby sasa!Sasa Ikianza Kazi Bombardier Itadoda
Hivi jiwe ndiye alimteua Bashite na Saambaya? Jiwe kafa na ishu za watu wasiojulikana hazisikiki tena wala watu kuuliwa.Safi sana,JPM kaacha alama kubwa sana za kujivunia sisi kama watanzania ndani ya muda mchache.
Desemba mwaka gani?December Tutaanza Kuipanda Dar Es Salaam ~ Morogoro