Nawaza sana kuhusu Kinjekitile Ngwale.
Huyu mhenga aliwezaje kuwashawishi watu wa wakati wake kuamini kuwa “ Maji Maji” yangewazuia risasi za mkoloni? Je, watu wa Kilwa na maeneo mengine walikuwa wajinga? Au walikuwa watu wanaotafuta tumaini katika mazingira ya kukandamizwa kupita kiasi?
Je, Kinjekitile alijua ukweli halisi lakini akatumia ile kauli kama propaganda ya kuhamasisha mapambano? Au kweli aliamini katika nguvu za kiroho za maji aliyotoa kiasi cha maji hayo kuzuia risasi?
Pia najiuliza—katika dunia ya sasa ya wanaharakati na mijadala ya kudai kinachoitwa haki, je kuna kufanana kati ya Kinjekitile na watu kama kadada Mange na wengine wanaojaribu kuchochea maasi dhidi ya mamlaka halali?
Kwa kifupi, alikuwa shujaa au mpotoshi yaani tapeli wa kisiasa? Hero or villain?
Nawaza tu…