Wakandarasi wameanza kazi rasmi, ya linalotarajiwa kua jengo refu kuliko yote duniani, KINGDOM TOWER.
Linatarajiwa kukamilika mnamo mwaka 2018,
Ghorofa ya 157 itakua ndio sehemu ya juu kabisa kuonekana kwa macho (610m) kabla jengo halijafunikwa na mawingu.