JamboJema
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 1,143
- 209
Tuliambiwa LCD, LED na PLASMA Tv zina ving'amuzi ndani na hivyo wakizima hizo 'analojia' tutaweza kudaka matangazo ya dijitali bila kutafuta king'amuzi kingine. Tangu waanze kuzima TCRA hawaongelei tena hili, au hata kutupatia elimu tufanyeje ili tuvitumie ving'amuzi vilivyo 'built - in'. Anayefahamu naomba anivushe tuta hili.