Kingamuzi kinahitajika.

cjui mimi

Member
Jul 7, 2013
67
8
Habari wadau kwa mwenye kingamuz cha aina yeyote ambae anauza kwa zile bei zetu za kijasiria mali p'lse naomba aniPM.

nawasilisha
 
Kipo Cha EAZY-TV, Nipe 50,000/- Tumalizane. Niko Ilala BOMA. Waweza ni-PM kwa yoyote mwenye kukihitaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom