kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,299
- 6,331
Habari zenu wadau!
Naomba mnijulishe ikiwa kuna king'amuzi tofauti na DSTV kinachoonyesha mpira wa miguu, ligi kuu ya uingereza na gharama zake kwa mwezi. Manake naelekea mazingira ya kijijini sana ambako access ya kuangalia mpira ni mpaka utembee umbali wa kilometa tatu hivi,kitu ambacho kwa usiku ni hatari. Hivyo nataka nikafunge tv nyumbani ili kama kuna king'amuzi kinachoonyesha epl kwa gharama nafuu nikifunge.