King'amuzi cha zuku

zuku tv unapata citizen .ubc .itv na tbc zilikua zinapatikana ila zimekata toka majuzi zitaludi zuku tv ni zaidi ya startime na ting wao ni wakali wanatumia mpeg4 risiva

kama ni mpeg4 receiver tu, TING ni kiboko kwani yenyewe ni mpeg4 pia na zaidi unaweza kui2mia kunasa satelaiti yoyote inayopatikana katika eneo lako,kurekodi vipindi kupitia usb,kuplay back video ulivyohifadhi kwenye hdd, smartcard port,ukiweka modem inakuwa conected ukipigiwa cmu kwa chip iliopo kwenye modem.aidha inaweza kurekodi programes wakati haupo nyumbani ili mradi 2 umeiset. zuku haiwezekani,dekoda zao kama dstv.ieleweke kwamba mm cna hisa na ting na chanels zao czipendi na cjawah kulipia hata mwezi m1 tangu nimenunua decoda yao(AAL-003)mwezi july 2011 ila nai2ma kama fta receiver na naifurahia kweli.inafanana sn na strong srt 4669x tofauti ni kwamba ...9x unaweza kuingiza biss keys kufungua scrambled channels.werevu mmenisoma, kazi kwenu.ukickia review hii imejitosheleza.binafsi it was a gamble to go 4 it lakini ss naona kuwa the best buy 4 an mpeg4 decoder.
 

Mkuu mimi ninayo SRT 4663X,...JE hii pia unaweza kuingiza biss keys? And HOW. Niongoze jinsi ya kuingiza biss keys to a Receiver zaidi ya hii ..,63X
 
Star timez nimesearch nikapata itv na star tv. Zimeendelea kupatikana hata baada ya hela kuisha. Zuku nimefunga jana, local naona tbc pekee. Itv inaeleza kuwa ina matatizo. Naona citizen, ntv, kbc, ktn za kenya, na ubc ya uganda. Muvies na makatuni kibao
 

umepata kwa frequency gani itv na tbc?
 
hivi huko mikoani hamna providers kama 'Milan Cable' ukiacha Arusha? kwasababu mimi natumia Milan Cable na napata channel zaidi ya >140 zikiwemo channel za kutosha za mpira, movie, miziki, habari, education etc kwa malipo ya 15,000/= kwa mwezi,,hamna sababu ya kutumia hivyo vingamuzi vinavyobabaisha, nawashauri kama kuna cable provider wa milan kwenye mkoa wako huyo ndio suluhisho, wanaprovide Cable television, Internet service provider, media advertisements, optical fiber installations.,,,:yo::yo:
 
70 ni uongo kuna chanel 131
 
Jamani naomba mnitajie bei za vingamuzi kama zuku,startimes na continental
 
Mi kesho naenda KUZUKU hiki cha StarTimes nakitoa natoa msaada kwenye sekondari ya kata iliyopo kwenye kata yangu,naenda kuwekea weding na kufuli ili kisibebwe kupelekwa nyumbani kwa headmaster
Ha
Mi kesho naenda KUZUKU hiki cha StarTimes nakitoa natoa msaada kwenye sekondari ya kata iliyopo kwenye kata yangu,naenda kuwekea weding na kufuli ili kisibebwe kupelekwa nyumbani kwa headmaster
Habari zenu wadau
 
Naomba kujua ninadish LA STARTIMES nataka kutumia king,amuzi cha ZUKU nifanyeje hapo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…