King'amuzi cha ukweli


Hiyo 35,000 ndio bei ya kununulia au kuagiza e bay au amazon sasa hadi kifike bongo kitakuwa ni sh ngapi bado ujampata fundi wa kukufungia,kama ingekuwa ni 150,000 wengi wangekuwa nacho na uagizaji ni wa masharti mengi coz its illegal stuff.
 

Tutajie make/model yake na wapi mtu anaweza kupata.
 
Kiboko ya DSTV kuna kitu kinaitwa dreambox... Kimeenea sana Nigeria, Zimbabwe, Zambia, Botwsana etc Hicho kitu kilimchanganya multichoice hadi wakataka kulia..

Ilimchukua 2 years DSTV, IDERTO ENGINEERS na EXPERTIES from developed countries,,, ku analyze dream box, how is it works ndo wakai stop,,,, unaweza uka Google more info about Dreambox ilivyosumbua DSTV ( nowdays its illegal to import Dreambox ukikamatwa kesi yake zaidi ya Lulu msala wake)

Sasa naona wachina wamerudi kwa style nyingine...

Ila kiukweli DSTV wanatunyonya sana watanzania huko Nigeria, Ghana, na nchi zinginezo watu wanachakachua mbaya na wenyewe wanajua sema hawawezi kuzuia as kila wakibana watu wanakuja na new style
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…