BinMgen JF-Expert Member Joined Jun 18, 2008 Posts 1,868 Reaction score 308 Jan 4, 2013 #21 Chabo said: hapa kuhusu mpira,umeteleza.wanaonyesha epl Click to expand... mpira gani kila wiki mechi moja!. kimsingi hamna mpira.
Chabo said: hapa kuhusu mpira,umeteleza.wanaonyesha epl Click to expand... mpira gani kila wiki mechi moja!. kimsingi hamna mpira.
Mrimi JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 1,691 Reaction score 641 Jan 5, 2013 #22 BinMgen said: mpira gani kila wiki mechi moja!. kimsingi hamna mpira. Click to expand... Mkuu mbona unapoteza muda wako kumwelewesha huyu? Umesahau kama kuna watu ambao kwao mpira ni mpira tu,iwe recorded au Mechi za Sentanta,wao kwao burudani tu.Mwambie hata StarTv kuna mpira karibu kila siku!
BinMgen said: mpira gani kila wiki mechi moja!. kimsingi hamna mpira. Click to expand... Mkuu mbona unapoteza muda wako kumwelewesha huyu? Umesahau kama kuna watu ambao kwao mpira ni mpira tu,iwe recorded au Mechi za Sentanta,wao kwao burudani tu.Mwambie hata StarTv kuna mpira karibu kila siku!