Wafrika bhana! Ndiyo mambo ya myweather kujipiga picha na hela mara anaogeshwa.
Hapo anatumia DSTV, Azam tv au Canal + ameona amepatia maisha.
Kuna mpangaji mwenzangu hapa amepanga chumba na sebule, sofa 2, kitanda cha 5x6, TV inchi 21, sabufa ya 90, Kabati ya vyombo na ya nguo. Hasalimii watu
Huwa nacheka sana