King'amuzi cha StarTimes kuuzwa elfu nne 4000

King'amuzi cha StarTimes kuuzwa elfu nne 4000

hata wakiuza elfu mbili kwan vile vya elfu 35 vinabak na channel mbili kifurush kikiiisha tv one na itv hivi vya elfu 22 ni tbc tu inabaki
 
Bora ya mie nilinunuaga 60000 na hata nisipolipia hata miezi 6 napata Chanel zaidi ya 10 startimes na ninawapenda na nitaendelea kuwapenda sema kuna siku kuna rafiki yangu walimpigia wakampanga wakambadirishia king'amuzi wamempa kibaya kinapata moto balaa halafu kipo cheap cheap
 
Mbona bei poa?,ngoja nikachukue maana napenda kuangalia TBC,wametukumbuka hawa watu.
 
Back
Top Bottom