King'amuzi cha startime kinaonesha tbc?

Njee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
223
Reaction score
17
WAungwana;je tbc IMEKATWA kwenye hii kitu ya HUHAAA ni kwangu tu au?Inapatikana wapi/kwenye kimuzi gani? MSINECHEKE jamani
 
Na mpaka utake kuangalia TBC una matatizo gani?

Ngoja waje wanaojua lkn ili na mimi nifaidi majibu. Nikibaini kinaonesha TBC sikinunui NG'O
 
WAungwana;je tbc IMEKATWA
kwenye hii kitu ya HUHAAA ni kwangu tu au?Inapatikana wapi/kwenye kimuzi
gani? MSINECHEKE jamani

Sasa mkuu kwenye hiyo tv unavutiwa na nini,watu hawana hata mpangilio wanazidiwa hata na tv za private,pia hata uhuru wa habari hawana,wao ni kufagilia liserikali tu bila hata kutoa ushauri wenye tija,kodi zetu pale haziendi kihalali kabisa
 
Hiv, wameingia ubia na CCM?
 
weweweeee NIMEZIMA NIMEWASHA TBCCM HIYOOOOO. Nimecheka mpk basi.
 
tbc ni mzigo kwa walipa kodi. Hatupati kile tunacholipia. Ipo siku yatakwisha hayo yote
 
Kwani huna channel zingine za kuangalia? Kwenye TBC unataka kuangalia nini?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…