King'amuzi cha StarTime kinaitajika tafadhali

King'amuzi cha StarTime kinaitajika tafadhali

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,341
Salama wakuu.

King'amuzi tajwaa kinaitajika haraka mwenye nacho PM me tufanye biashara.

Asante.
 
Hakina tatizo kaka..chanel zilezile ila hakina katoon ambazo watt wangu wanataka.
 
...star times ?..majanga mjatupu...
 
Ondoa shaka mkuu, kiukweli hakina tatizo hata kidogo, ila nilinunua ving'amuzi viwili DSTV na ZUKU sasa naona ZuKu niuze...hawa ni wakenya wapo juuu sana mkuuu
 
Ondoa shaka mkuu, kiukweli hakina tatizo hata kidogo, ila nilinunua ving'amuzi viwili DSTV na ZUKU sasa naona ZuKu niuze...hawa ni wakenya wapo juuu sana mkuuu

punguzo la bei, zuku deki +dish -Tshs 60,000/= OBO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom