m changu cha zuku kimezimwa leo,maana leo ndio natakiwa nikilipie
hapa bila kulipa hupati channel yoyote ya bure hapa tz na ukilipa ni wingi tu wa channel za kenya ,na chanel zetu chache itv,channel 5,chanel ten na tbc.Mamlaka ya mawasiliano ingewabana hawa wenye visambuz wawe channel hata tano za ndani tena zirushwe bure