King'amuzi cha gospel(above 80 channels)

King'amuzi cha gospel(above 80 channels)

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,286
Reaction score
488
Hallo Wana JF.

"LETA IBADA SEBULENI KWAKO" Ni SLOGAN ya King'amuzi ambacho kinakupatia TV-GOSPEL CHANNELS zaidi ya 80. Na kukufanya uwe Connected na UWEPO Wa ROHO MTAKATIFU/MUNGU Muda wowote 24/7.

Hizi ni Baadhi tu ya Channels ambazo zinapatikana Ndani yake.

NB; Mara baada ya kufungiwa hakuna tena MALIPO ya kila Mwezi. "One time Connection Fee For a Life time"

1. Emmanuel-TV(Prophet T.B Joshua)
2. Chosen TV(Pastor Lazarius)
3. Dove TV
4 .Loveworld(Pastor Chiss O.)
5. Hope Channel(ziko 3)(Sabbath)
6 .Miracle TV(Prophet Angel)
7. Yadah TV
8. Blessing TV
9. God TV
10 Christian-TV
11. UBN
12. Huda
13. GMTV
14. MFM
15. Manifestation TV
16. Omega
17. ACNN
18. ACNN Int'l
19. Impact
20. 3ABN
21. Hossana TV
22. TVC News
23. Short One TV
24. JCC
25. Dunamis
26. SBN Int'l
27. Spirit Word
28. ELshadai
29. Salem
30. BCS(King of Kings-Olumba Olumba Obu)
31. Ambassador TV
32. New Frontiers
33. Success TV
34. WAP TV
35. Olive TV
36. Bible TV
37. Power Broadcasting
38. KICC
39. Messiah
40. Mercy Tv
41. Believe TV
42. Liberation TV
43. DayStar
44. ADBN
45. CITIZEN(Kenya)
46. Redemption TV
47. Kingdom Life TV
48. CVV TV
49. Champions TV(ziko 2),
50. IFiLM
51. PRESS TV
52. Madani Channel
53. School On Air
54. Mercyland TV
55. Celebration TV
56. Inspiration Channel
57. Favour TV
58. Fire TV
59. ACBN Africa
60. ACNN
61. Alhulbait TV
62. World Restoration TV
63. Healer TV
64. Digha TV
65. RAK TV
66. Botswana TV. etc

Kwa wale ambao hawatataka uwepo/annointing of GOD, kuwapita, waweza kuwasiliana nami kwa hii namba hapa Chini.
 
Mimi kupitia Azam tv napata zote hizo kwa dish la Eurostar....
 
Hizo zote ni channel za free ktk receiver za kawaida kabisa.
 
hizi zooote ni free chanels ukifunga lnb 1 na ku 2 na ukitaka zaidi unafunga lnb2 na ku2. mkuu unataka watu walipie FTA CHANNELS? UKO KIBIASHARA AU KIROHO?
 
Mkuu, siyo Mediacom hii?

Zamani tulivokua na dish za kawaida zote tulikua tunazipata kwa receiver zetu, Wale wanaotumia receiver za kawaida watakua wanazipata hizi,yeye kin'gamuzi anauza bei gani
 
ikamate fursa twenzetu akijipendekeza mtu kwa fta we vuta mpunga sio wote wanajua hayo mambo.
 
mbona super sports sijaiona.!?au world cup haioni inakuja....
 
Zote ni FTA. zinapatikana Intelsat 20 (Zamani Panamsat 7/10) na hata ukiwa na receiver ya Mpeg 2 unazipata. Mimi Nina tatizo moja- sipati ile channel ya prophet Bushiri - yule wa Malawi.
 
Zote ni FTA. zinapatikana Intelsat 20 (Zamani Panamsat 7/10) na hata ukiwa na receiver ya Mpeg 2 unazipata. Mimi Nina tatizo moja- sipati ile channel ya prophet Bushiri - yule wa Malawi.

Haina Jina hiyo Channel!??
 
hizi zooote ni free chanels ukifunga lnb 1 na ku 2 na ukitaka zaidi unafunga lnb2 na ku2. ukitaka zaidi unafunga lnb2 na ku2. mkuu unataka watu walipie FTA CHANNELS? UKO KIBIASHARA AU KIROHO?

...ukitaka zaidi unafunga lnb2 na Ku2.

unavosema lnb 2 na Ku2,
unamanisha KU sio LnB?
 
Zinapatikana tu ukiwa na Azam Decoder au kuna kitu kinatakiwa kufanyika?

Kama una decoder ya Azam tv unanua na dish hata dogo la 50,000 then ukipata fundi mzuri utaongeza channel kibao....uzuri Azam tv wameruhusu wateja wao kujiongezea channel za FTA na wameweka option kabisa kuzitenga zile zao na zile utazoongeza.........
 
Kama una decoder ya Azam tv unanua na dish hata dogo la 50,000 then ukipata fundi mzuri utaongeza channel kibao....uzuri Azam tv wameruhusu wateja wao kujiongezea channel za FTA na wameweka option kabisa kuzitenga zile zao na zile utazoongeza.........
Habari nzuri hii hepu tupe huo ujanja na sisi wengine tupate hizo channel za FTA katika king'amuzi cha Azam BIG UP!!!
 
Jamani mimi ninadish lakawaida but napata channer 5 tu ambazo ni loco ila star tv haipo nisaidieni...
 
Dish lako lina size gani? Kama ni futi 6 au zaidi tafuta fundi akusaidie kuongeza lnb. Kama uko fiti fanya mwenyewe.
 
Msaada tupe tp zake na sat
Location yaani jinsi ya kuziadi natumia Azamtv MTAZAMO
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom