King'amuzi cha Dstv na dishi lake vinauzwa.

King'amuzi cha Dstv na dishi lake vinauzwa.

moj6

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
3,354
Reaction score
5,027
Only 70k ,nimetumia for only 4 months
 
Ungepunguza bei ungepata wateja maana kipya na hiyo bei yako haina tofauti yoyote.
 
Mazungumzo yapo mkuu,
 
Dishi lipo juu
IMG_20181014_151017.jpeg
 
Hahaha[emoji28][emoji28][emoji28] blaza unfekomaa tu au unge kuweka ndani kama mimi...kumbe hakuna anaye penda kuiyona TBC...ila DSTV ime pooza kweli
 
Hahaha[emoji28][emoji28][emoji28] blaza unfekomaa tu au unge kuweka ndani kama mimi...kumbe hakuna anaye penda kuiyona TBC...ila DSTV ime pooza kweli
Nimehamia Azam ,lete hela nikuuzime ,nimekubali hasara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom