King'amuzi cha continental ndo mpango mpango!!



hebu tudondoshee channel zake zote hapa jamvini tuzijue ili tufanye maamuzi ya kununua au la
 
source mkubwa!!!!!!!!!
 

hahaha we jamaa eti

star times tupa kule,
zuku tupa kule, easy tv
tupa kule, ting tupa kule,
digitek tupa kule. ila DSTV cjaona ukitaja...
 
Hata mimi ni mwanafamilia wa continental picha makini bila kusahau kukatika kwa sauti kama star time
 
mbona hata digitek kinafanya mambo hayo yote uliyo yasema mku?

nini cha kukitofautisha na digitek ukiacha jina na bei?

hicho kina vizidi nini vingine?

mkuu bado umeshinda kukitetea hicho kisumbusi chako.
 
Ni vyema uione Idara yao ya masoko wakulipe kwa kuwafanyia promotion
 
Nataka kuongeza kisimbusi je continental na digitek nitajien chnl zao!

=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================
 
Katika mambo sielewi hawa jamaa wa Continental wanajipigia promo ya ubora wa Picha na Bei lkn hawasemi kuna Chanel ngapi na zipi! Nilienda 7 7 mwaka huu mambo nihayo hayo! Ukiwauliza kuna chanel hawasemi wanakwambia ziko nyingi nazingine zitaongezeka zipi kimya duh! Mfano halisi nihuyu ndg muanzisha mada anacfia ubora bt hasema kuna chanel zp mbona DIGTECK wanasema? duh! ngoja tumsubiri AZAM nae!
 
Hivi kwa nini watanzania wanauziwa channel ambazo ni free to air, bado wamekaa kujadili aina za ving'amizi, kuliko ninunue hayo madikoda yenu mnayoshindana kuyataja maana mimi yote yamenikera si bora nilipie kebo nikapata machaneli ya uhakika
 
vingamzi hivi vitanitoa roho yarabi mungu wangu.
ninacho cha startimes kiko uvunguni nilikinunua mwanzoni kabisa kabisa, sasa nimefunga Zuku , no ITV no STARTV nami napenda vituo hivi viwili, naambiwa kuna continental sijui digitek, ting sijui nani tena , je which is the right choice of vinga'mzi?
 

Azam tv
 
Unaangalia channels ngapi kwa kutumia king'amuzi hicho?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…