King'amuzi cha continental ndo mpango mpango!!

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
26,676
Reaction score
59,163
star times tupa kule, zuku tupa kule,easy tv tupa kule, ting tupa kule, digitek tupa kule. mpango ni king'amuzi cha continental aina ya T2. Mimi nmekipenda sababu kinarecord vipindi. yaani kama upo busy na kipindi kinaendelea unauwezo wa kurecod na kuangalia baadae. unatumia flash na kila kitu. mda si mlefu ving'amuzi vya bamaga vitajiju. mia
 
hata zuku kina sehemu ya kuweka flash na hivyo kuwa na uwezo wa kurekodi!
 
Bora hicho nianze kuwarekodia taarifa ya habari majirani zangu maana tangu anolijia izimwe sebuleni kwangu kumegeuka ukumbi wa kijiji. Sasa ntaanza kurekodi na kuonesha kwa makundi madogo madogo kwa zamu, wasiharibie sofa zangu za keko.
 
unajua wataweka channel gani? Usishangae zikawa kama za startimes kutujazia chanel za kihindi tupu
 
Local chanel zipo ngapi???au unabwabwaja tu ili tukuone???:banghead:
 
Hee huu ulimwengu wa Zuku umenifanya nisijue kama kuna king'amusi kingine,ngona ni google nijue mbwembwe zake,muda si mrefu nitakuwa na MAKUMBUSHO YA VING'AMUSI(ZI) hehe uwingi wa ving'amuzi ni ving'amusi
 
Bora hicho nianze kuwarekodia taarifa ya habari majirani zangu maana tangu anolijia izimwe sebuleni kwangu kumegeuka ukumbi wa kijiji. Sasa ntaanza kurekodi na kuonesha kwa makundi madogo madogo kwa zamu, wasiharibie sofa zangu za keko.

Duh,hii kiboko!
 
Eh mi changu cha Zuku hakina au ndio vipya,hawa Zuku walisema kutakuwa na package yenye intaneti na simu ,kama huko Kenya lakini mpaka sasa kimya
 
Bora hicho nianze kuwarekodia taarifa ya habari majirani zangu maana tangu anolijia izimwe sebuleni kwangu kumegeuka ukumbi wa kijiji. Sasa ntaanza kurekodi na kuonesha kwa makundi madogo madogo kwa zamu, wasiharibie sofa zangu za keko.
Kwani unafikiri chenyewe kitagawiwa bure, nacho kitahitaji fedha mkuu,kwa hiyo sababu zilizowafanya washindwe kununua cha Startimes ndo hizohizo zitawafanya washindwe kununua na hicho kipya.Sasa wewe kuwa mwanaume kama vipi waambie kuwa hutaki wageni maana still they have a long way to go for sure mpaka waweze kununua cha kwao
 
Da hii dijitali imenikumbusha miaka ya 47 ambapo tulikuwa tunaenda kusikiliza taarifa ya habari kwa balozi wa nyumba kumi au kwa mwalimu mkuu ,watu walishindwa kuwa na radio kwa kuwa na bei pia kulikuwa na kodi ya radio, kodi ya baiskeli hata hizi TV zilipoanza zilikuwa zinalipiwa kodi.
 
Sasa hivyo vin'gamuzi vya Intercontinental vinauzwa bei gani?

BlackBerry 8900 using JamiiForums
 
Bora hicho nianze kuwarekodia taarifa ya habari majirani zangu maana tangu anolijia izimwe sebuleni kwangu kumegeuka ukumbi wa kijiji. Sasa ntaanza kurekodi na kuonesha kwa makundi madogo madogo kwa zamu, wasiharibie sofa zangu za keko.
Dawa ndogo tu mkuu. Weka kiingilio cha taarifa ya habari. Kama unawaonea aibu jirani zako we ni- pm nije kukaa golini.
 
mbona hata DSTV inarekodi, hata hizi Zuku pia.
nadhani what matters ni aina ya receiver, no wonder hata hizi fta's nao watakuwa na uwezo huo.
 
star times tupa kule, zuku tupa kule,easy tv tupa kule, ting tupa kule, digitek tupa kule. mpango ni king'amuzi cha continental aina ya T2. Mimi nmekipenda sababu kinarecord vipindi. yaani kama upo busy na kipindi kinaendelea unauwezo wa kurecod na kuangalia baadae. unatumia flash na kila kitu. mda si mlefu ving'amuzi vya bamaga vitajiju. mia

Pia king'amuzi chao kina HDMI Port, yaani High Definition Multimedia Interface kwa thithi wenye Digital tv full raha!
 
star times tupa kule, zuku tupa kule,easy tv tupa kule, ting tupa kule, digitek tupa kule. mpango ni king'amuzi cha continental aina ya T2. Mimi nmekipenda sababu kinarecord vipindi. yaani kama upo busy na kipindi kinaendelea unauwezo wa kurecod na kuangalia baadae. unatumia flash na kila kitu. mda si mlefu ving'amuzi vya bamaga vitajiju. mia

mbona wakipa sifa ilihali hujakitumia angalia usije tena hapa jf na kusema kinyume chake.
 
Back
Top Bottom