Kingamuzi cha Bakhresaa...!!

Kingamuzi cha Bakhresaa...!!

donmasam

Senior Member
Joined
Jun 19, 2013
Posts
161
Reaction score
36
Waungwana niulizeeee.....!!kulikuwa na tetesi bakhresaa anataka kuanzisha kingamuzi kitakachokuwa na chanell nyng na kufaidisha wapenda michezoo...!!vp teyari kishaaanza kutumikaa..!??na wapi chapatikanika
 
Kinakuja,
Maamdalizi yanaendelea about 60% ya mambo yanayotarajiwa kufanyika yameshakuwa tayari kama mtiririko huu hapo chini:
1: Jengo yaani media house limeshanunuliwa - Nyerere road just baada ya mataa ukitokea airport upande wako wa kulia
2: Interviwe za wafanyakazi - the most ultra expertise staff tu zimeshaanza na zinaendelea kufanyika.
3: Aliyekuwa MD wa GTV ( ile iliyorun bankrupt ndio atakuwa MD wa Azam Media
4: Vinga'amuzi kuanza kuuzwa "labda" this October.
5: mchakato wa kisheria na kikanuni unakamilika.
6: itakuwa ni pay TV, competitive na full options.
7: Kutakuwa na channel nyingi za burudani, michezo, mambo ya kijamii,news and hot hot links.
8: It is a revoultioanry move.....stay tuned
 
Asante kwa taarifa. Twasubiri hiyo October. Ila hapo unaposema ndio itakuwepo media house ni kama maeneo ya RTD ya zamani.
 
Hakuna matata "COCKTAIL" kama kwaida Dini na Dunia... chaguo ni lako !!
 
hakuna ubaya hata kikiwa cha kidini,kama alivyofanya kwa wauza barafu na vibaskeli vyao wanalazimishwa kuvaa kanzu na vilemba kama taleban kule Afgh.
 
Asante kwa taarifa. Twasubiri hiyo October. Ila hapo unaposema ndio itakuwepo media house ni kama maeneo ya RTD ya zamani.

NIMEIPENDA HII, BAADA YA MATAA YA KWANZA UKITOKEA AIRPORT NI MAENEO YA RTD YA ZAMANi? DUH KWANI UKO WAP SKU IZI? VERY NICE
 
Kinakuja,
Maamdalizi yanaendelea about 60% ya mambo yanayotarajiwa kufanyika yameshakuwa tayari kama mtiririko huu hapo chini:
1: Jengo yaani media house limeshanunuliwa - Nyerere road just baada ya mataa ukitokea airport upande wako wa kulia
2: Interviwe za wafanyakazi - the most ultra expertise staff tu zimeshaanza na zinaendelea kufanyika.
3: Aliyekuwa MD wa GTV ( ile iliyorun bankrupt ndio atakuwa MD wa Azam Media
4: Vinga'amuzi kuanza kuuzwa "labda" this October.
5: mchakato wa kisheria na kikanuni unakamilika.
6: itakuwa ni pay TV, competitive na full options.
7: Kutakuwa na channel nyingi za burudani, michezo, mambo ya kijamii,news and hot hot links.
8: It is a revoultioanry move.....stay tuned

well said dude naona atasoma nakuelewa pia..
 
Back
Top Bottom