King'amuzi cha Azam ni balaa

King'amuzi cha Azam ni balaa

kombaME

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
2,115
Reaction score
2,822
Mvua inanyesha lakin kinapiga kazi kama kawaida wakat zamani ilikuwa mawingu tu yakitanda kinagoma goma. Kongole kwa marekebisho yaliyofanyika.
 
nahisi nimebaki mimi tu natumia startimes kila siku nasema nitaitupa hii decoder hakuna channel ya maana
 
Toka niweke dstv sijawai ita fundi, mvua hata inyesheje ngoma haizingui dstv baba lao[emoji119]
Mchawi garama za vifurushi mzee, hasa kwa sisi wanyonge tulioachwa na jiwe, kifurishi cha chini zaid ni cha bomba 20000
 
nahisi nimebaki mimi tu natumia startimes kila siku nasema nitaitupa hii decoder hakuna channel ya maana
1619777954995.png
 
Back
Top Bottom