Kazi ipo! Hoja ya msingi ni je,utumiedawa za kuzuia mimba?
Jibu hapana,tulia kwanza then after a month to 3months nenda hospital kacheki afya yako hasa zile chembechembe hai nyeupe (white blood cells).
Eeee Mungu,tunakuomba ukiokoe kizazi hiki cha nyoka!