simple 1.usilale mchana 2.usile vitu vizito saa moja kabla ya kulala 3.dakika 5 kabla ya kulala gugumia glass 2 za maji enjoy you sleep hii imeniponya kabisa NB:mwili hutii sayansi