Kinga gari lako dhidi ya jua kali

Kinga gari lako dhidi ya jua kali

Mnawapa sana kichwa hao Watanzania Visiwani.... Naomba uwe unawaita Watanzania Visiwani na Sio Zanzibar wale ni sehemu tu kama mikoa mingine sema tu wan hali duni na fikra za chini
hahahahahaaa,kweli ni mkoa mwingine asee.tuanatakiwa kukumbuka hili daima
 
Watu binafsi na maofisi hasa kwenye mikoa ya jua kali kama Dar na Dodoma hii ni nafasi ya kuyalinda magari yenu mnayoyapenda kwa bei nafuu kabisa.Unaweza ni PM,email at j.masalu@255systems.com au simu 0656-934573 kwa ajili details zaidi.Bei zetu ni nafuu sana na ushauri ni bure kabisa.

good work guys,mependa sana kazi yenu na bei naona ziko vizuri kuliko kampuni moja pale mikocheni.nitawatafuta very soon
 
Hizo Tent zinaweza kufunika Volkswagen Beetle... Old Model! i mean inaweza tosheana?
 
Hizo Tent zinaweza kufunika Volkswagen Beetle... Old Model! i mean inaweza tosheana?

mkuu mlaleo,shades zinafunika magari aina yote ndugu yangu,na pia unaweza tumia sehemu ya shade kama mahali pa kupumzikia au kufanyia shughuli zako nyingine wakati wa jua kali au mvua.
 
good work guys,mependa sana kazi yenu na bei naona ziko vizuri kuliko kampuni moja pale mikocheni.nitawatafuta very soon

Asante sana mkuu<kweli bei zetu ni nafuu sana kulinganisha na makampuni mengine shindani,pia tuna design nyingi tofauti nao pia.Karibu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom