King Mada Maugo kugombeu ubunge Rorya kupitia CHADEMA

King Mada Maugo kugombeu ubunge Rorya kupitia CHADEMA

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
5,597
Reaction score
1,016
Akizungumza kwenye kipindi cha FNLcha Eatv bondia na mwanajeshi alistaafu jeshini ili kuingia kwenye ngumi za kulipwa nchini alisema atagombea ubunge wa jimbo la Rorya lililoko mkoani Mara..

Maugo ambae ni bondia mashuhuri nchini amesema kwamba ameshaongea na mbunge wa sasa ambae ni Lemec Airo na kumhakikishia kwamba hatangombea mwaka 2015!
 
>Akizungumza kwenye kipindi cha FNLcha Eatv bondia na mwanajeshi alistaafu jeshini ili kuingia kwenye ngumi za kulipwa nchini alisema atagombea ubunge wa jimbo la Rorya lililoko mkoani Mara..

Maugo ambae ni bondia mashuhuri nchini amesema kwamba ameshaongea na mbunge wa sasa ambae ni Lemec Airo na kumhakikishia kwamba hatangombea mwaka 2015!
Ilibidi aongee na Airo kwanza? Ameifanyia nini CDM mpaka sasa hivi!
 
Sitashangaa ata dazbaba pia kugombea kupitia cdm. Ata matonya pia katangaza kugombea bahi kupitia cdm
 
Chadema at work sera yao wasanii sasa imekuwa mabondia au ndio wantaka kuimarisha ulinzi bungeni chadema hamjambo
 
Ccm jifunzeni hayo, kila mtanzania ana haki kwenye ya kugombea uongozi kwenye nchi yake. Sio ccm .wanagombea walewale awa watoto wa walewale. Utasikia mtoto wa makamba, kikwete,malecela,kigoda,ngombale,lowasa,lusinde nk
 
SIPATI PICHA ukiwa Mbunge harafu yakatokea kama Yalompata Mr mbili.Aisee utawatwanga vibaya sana ngumi za Usoni.hao askari watakaojipendekeza.
Go mada.Na wewe Matumla,ukistaafu gmbea kupitia ccm.
 
SIPATI PICHA ukiwa Mbunge harafu yakatokea kama Yalompata Mr mbili.Aisee utawatwanga vibaya sana ngumi za Usoni.hao askari watakaojipendekeza.
Go mada.Na wewe Matumla,ukistaafu gmbea kupitia ccm.

Kweli chadema chama cha wahuni na wavuta bangi na walevi sana mabondia
 
Moses Machali, nakuja na CCM yangu! lazima nimkalishe tena
 
sipati picha ukiwa mbunge harafu yakatokea kama yalompata mr mbili.aisee utawatwanga vibaya sana ngumi za usoni.hao askari watakaojipendekeza.
Go mada.na wewe matumla,ukistaafu gmbea kupitia ccm.
nadhani kuna haja hata francis cheka achukue fomu ya ugombea kupitia cdm 2015 ni muafaka kupeleka wataalamu msuli ili ujinga anaofanya ndugai ufikie kikom . Safari hii simmeona tunapeleka mabaunsa full mzinga ili ccm wanywee.
 
sitashangaa ata dazbaba pia kugombea kupitia cdm. Ata matonya pia katangaza kugombea bahi kupitia cdm

matonya ni msambazaji wa dawa za kulevya akitumika na mtoto wa jigogo anapokuwa mikoani hufikia panon ambapo ndipo hufanyia biashara hii, hivyo basi angombee kupitia ccm, chama cha wauza unga..
 
Kila mtu ni politician au umaarufu mlio nao ndo unawapa viburi, sasa nami nakuja huko kupitia chama kikuu .
 
Akizungumza kwenye kipindi cha FNLcha Eatv bondia na mwanajeshi alistaafu jeshini ili kuingia kwenye ngumi za kulipwa nchini alisema atagombea ubunge wa jimbo la Rorya lililoko mkoani Mara..

Maugo ambae ni bondia mashuhuri nchini amesema kwamba ameshaongea na mbunge wa sasa ambae ni Lemec Airo na kumhakikishia kwamba hatangombea mwaka 2015!

Chadema km chama hakijaishiwa wagombea makini, km ubondia umemshinda arudi jeshi
 
Haya ni Maneno ya vijiweni.
Mtu yeyote anaweza kujisemea.
Watakaogombea wapo na Chama kinajua na wanaendeleza harakati toka kitambo jimboni.
Subirini muda ufike watakaogombea mtawaona.
 
Akizungumza kwenye kipindi cha FNLcha Eatv bondia na mwanajeshi alistaafu jeshini ili kuingia kwenye ngumi za kulipwa nchini alisema atagombea ubunge wa jimbo la Rorya lililoko mkoani Mara..

Maugo ambae ni bondia mashuhuri nchini amesema kwamba ameshaongea na mbunge wa sasa ambae ni Lemec Airo na kumhakikishia kwamba hatangombea mwaka 2015!

Badala ya kuongea na viongozi wake anaenda kuongea na Lameck! Mbona Lameck alishasema siku nyiiingi kwamba hatagombea na hajawahi kunena neno bungeni. Nasikia wan Rorya wana hasira naye kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom