• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

king kaka

  1. Tomaa Mireni

    King Kaka avunja rekodi ya wasanii E.A huko YouTube

    Huyu jamaa naweza kusema ni Roma wa Kenya, siku 3 viewers 1.3M kwa mwana hiphop haijatokea hapa Afrika Mashariki. Tumezoea kuona pigo hili kwa kina Mondi na Kiba wasanii ambao wanaimba. Ni msanii gani toka TZ wa hiphop amefikia hii?? Jibu ni hakuna hata kwa Kenya hakuna Mgenge amewahi fikia...
Top