- Thread starter
- #41
Kadiri unavo uuliza ntakuunyosha zaidi ya misitari 130 ilio pachikwa ndani ya Biblia version mbalimbali.Aombe Radhi. Anapotosha
Kadiri unavo uuliza ntakuunyosha zaidi ya misitari 130 ilio pachikwa ndani ya Biblia version mbalimbali.Aombe Radhi. Anapotosha
Nigawie kidogo mahela Mkuu kwa kuwa mvaa kobazi Mwandamizi JF wa kukandia Wakristo ukilipwa ujira ila sisi Wapagani, Wahindu, Wabudha, Wayahudi, Rastafarians tunakula bata na hatuhangaiki kamwe na dini zisizotuhusu 🙎
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Umetufunguwa macho na masikioKing James I (1566–1625) ndiye aliyeagiza tafsiri ya Biblia maarufu ya “King James Version,” lakini hakuandika Biblia hiyo mwenyewe. King James hakuwa kiongozi wa kidini alikuwa mfalme wa Uingereza na Uskochi (1566–1625). Alitoa agizo la kutafsiri Biblia (iliyokuja kuitwa King James Version – KJV) kwa
Sababu kuu la Agizo lake la tafsiri ya biblia zifuatazo:
1. Kuondoa migawanyiko ya kidini:
Wakati huo kulikuwa na migogoro kati ya Waprotestanti, Wakatoliki, na Puritani Alitaka tafsiri moja ya Biblia ambayo ingeruhusu umoja wa taifa chini ya mfalme.
2. Kudhibiti ushawishi wa tafsiri zilizopo: Tafsiri zilizokuwepo, kama Geneva Bible, zilikuwa na maelezo ya pembezoni yaliyomkosoa mfalme. Alitaka tafsiri isiyo na maelezo ya kupinga mamlaka ya kifalme.
3. Kuimarisha mamlaka yake kisiasa: Kwa kuwa mfalme aliaminika kuwa kichwa cha Kanisa la Uingereza (Anglican Church), aliona tafsiri rasmi kama njia ya kuhalalisha uongozi wake wa kiroho na kisiasa.
Madhaifu ya tafsiri ya Biblia ya King James.
1. Imetafsiriwa kwa lugha ya zamani (Old English) Maneno kama “thou, thee, ye, hath, shalt” ni magumu kwa wasomaji wa sasa kuelewa.
2. Ilitafsiriwa kabla ya ugunduzi wa maandiko ya kale zaidi KJV ilitafsiriwa mwaka 1611, kabla ya kupatikana kwa Dead Sea Scrolls (karne ya 20) na maandiko mengine ya zamani yaliyo sahihi zaidi.
3. Imetegemea maandiko ya Kigiriki ya baadaye (Textus Receptus) ilitumia maandiko ya Kigiriki yaliyo na makosa ya nakala tofauti na tafsiri mpya zinazotegemea Alexandrian manuscripts ambazo ni sahihi zaidi.
4. Inaongezea maneno ambayo si ya asili KJV huongeza maneno kwa ufafanuzi bila kuyatofautisha, hivyo msomaji hawezi kutofautisha yaliyo ya maandiko ya awali na ya kuongezewa.
5. Baadhi ya aya si sahihi au hazipo katika maandiko ya kale
Mfano: Yohana 5:7-8 inaongezea dhana ya Utatu (Trinity) ambayo haipo kwenye maandiko ya kale zaidi.
Aya nyingine kama Marko 16:9–20 na Yohana 7:53–8:11 zina utata kuhusu uhalali wake.
Mkuu kwa heshima yote ninao kupa nieleza hiyo mada ya Muhammad (saw) inahusiana wapi na King James version ya biblia.Covax ni muislam ambaye anapingana na mtume wake mr Mohamed.
Quran 10:94 , Mohamed anaambiwa kama ana mashaka kuhusu utume wake basi akawaulize walioshushiwa vitabu kabla yake (wakristo na wayahudi). Allah wake angemwagiza akawaulize wenye vitabu vilivyo chakachuliwa?
Shida yako wewe ni kwamba unaenda kwenye tafsiri, wakristo tuna codex za kale kabisa ambazo waislamu hamna. Nikuulize swali rahisi tu ,wapi kuna copy hata moja ya Quran ya Uthman hapa duniani? Ila asilimia 90 ya waislamu mnatumia Quran ya Misri ya mwaka 1924 ambayo sio original Quran ( Uthman).Mkuu kwa heshima yote ninao kupa nieleza hiyo mada ya Muhammad (saw) inahusiana wapi na King James version ya biblia.
Mkuu uko nje ya mada ila dhibitisha tuhuma hizo kwa kuleta ushahidi au mgongano wa Qur’an ili tuweze kujadili kwa heshimu, pia nakiomba ulete hizo codex Za bibulia unazo sema au tutolee mfano moja ili tujifunze na sie pia ahsante sana in advance mkuu.Covax ni muislam ambaye anapingana na mtume wake mr Mohamed.
Quran 10:94 , Mohamed anaambiwa kama ana mashaka kuhusu utume wake basi akawaulize walioshushiwa vitabu kabla yake (wakristo na wayahudi). Allah wake angemwagiza akawaulize wenye vitabu vilivyo chakachuliwa?
Shida yako wewe ni kwamba unaenda kwenye tafsiri, wakristo tuna codex za kale kabisa ambazo waislamu hamna. Nikuulize swali rahisi tu ,wapi kuna copy hata moja ya Quran ya Uthman hapa duniani? Ila asilimia 90 ya waislamu mnatumia Quran ya Misri ya mwaka 1924 ambayo sio original Quran ( Uthman).
Proffesor Yassir Qadhi mwanazuoni nguli kabisa wa Qur'an na hadithi,aliulizwa swali ni Mohamed Hijab,ni Quran ipi anaweza kusema ndiyo ile ile toka kipindi cha Mohamed? Aliwekewa versions tofauti za Quran na akashinda kuchagua moja tu .
Kama wewe unasema historia yetu ya Biblia haijanyooka, historia yenu ya Quran ikoje?
Covax ni muislam ambaye anapingana na mtume wake mr Mohamed.

Ukienda Saudi Arabia na uarabuni yote hawana hata kurasa 1 ya Quran za Aboubakar au Uthman. Zilipotelea wapi? Hata centre za uislamu za wakati ule ambazo ni Damascus Baghdad ambako walitumiwa zile copy za kwanza hakuna hata kurasa moja ya Quran za Aboubakar au Uthman.Qur’an ni moja tu na ilishushwa kwa Mtume Muhammad (s.a.w) na kuhifadhiwa na wafuasi wake kwa njia ya kumbukumbu ya mtu mmoja mmoja na kwa njia ya maandishi.
Baada ya Mtume kufariki. Abubakar aliikusanya Qur’an kutoka kwenye vifua vya watu walio ihifadhi na kwenye hifadhi za maandishi. Hivo ikawa ni kitabu kimoja ( Master Copy ).
Uthman alikuja kuchapisha vitabu kwa idadi kubwa kwa ajili ya kusambazwa kwenye jamii mbali mbali sababu baadhi ya jamii walikuwa wanaongea kiarabu chenye kutofautiana kidogo na kiarabu cha Quraish.
Hivo ilikuwa inaleta mgongano wa matamshi. Mfano kiswahili cha mtanzania ni tofauti na kiswahili cha Mkenya.
Lakini ukiichukua copy yoyote ya Uthman leo hii ukailinganisha na Master Copy aliyoikusanya Abubakar hakuna tofauti kabisa.