Elections 2010 Kinana: Wapinzani hawana jipya

[QUOTE=Padri;1065635]Hao wanajua kuwa KINANA KICHWA CHA CCM ndio maana wanaleta mashambulizi Binafsi.Kinana msomi wa Harvard sio kama Mbowe Form Four au mgombea mwenza wa Chadema Said Mzee MSOMI WA Darasa la saba.na muimba kwaya bwana Slaa.

Padri kweli Mbowe Form 4??????
[/QUOTE]

we ndio ***** kabisa kusoma havard ndio nini?Maji marefu mgombea ubunge wenu ni darasa la ngapi
 
[QUOTE=Padri;1065635]Hao wanajua kuwa KINANA KICHWA CHA CCM ndio maana wanaleta mashambulizi Binafsi.Kinana msomi wa Harvard sio kama Mbowe Form Four au mgombea mwenza wa Chadema Said Mzee MSOMI WA Darasa la saba.na muimba kwaya bwana Slaa.

Padri kweli Mbowe Form 4??????
[/QUOTE]

Kwenda Harvard ama any Ivy League University sio Hoja kwa viongozi woote wa kiafrika, mkuu.
Chenge Kaenda Harvard, Mkapa kaenda Columbia, Kigoda kaenda Vanderbilt lakini ndio majizi ya kupindukia. Elimu yoyote hapa duniani haiwezi kuwasaidia viongozi wote wa kiafrika because they are retarded!:confused2:
 
Back
Top Bottom