KINANA ndiye wakala wa AL Shabab ya Somalia hapa nchini. Anatumia wadhifa wake ndani ya CCM kusafisha fedha chafu za makundi mbali mbali yanayohusika na utekaji nyara wa meli za mizigo katika Ghuba ya Somalia. Fedha hizo kwa mamilioni ya Dola za Kimarekani hulipwa na wenye meli ili meli zao na shehena za mizigo iliyobeba zipate kuachiwa (RANSOM). KINANA ndiye wakala wa kusimamia uwekezaji wa fedha hizo hapa nchini katika katika miradi mbali mbali ikiwemo mahoteli kama vile PARADISE,TANSOMA (TANZANIA SOMALIA); Uchimbaji wa madini; VIWANDA KADHAA N.K.
NI FISADI MKUBWA SANA, ILI KUJENGA MTANDAO WA UTAKAJI MAELI KULE KWAO SOMALIA ALIITUMIA SERIKALI YA CCM NA BAADHI YA MAWAZIRI KUUA SHIRIKA LA UMMA NASACO LILILOKUWA LIKIFANYA UWAKALA WA BIASHARA YA MAELI HAPA NCHINI KUTOKANA NA UNYETI WAKE KWA USALAMA WA TAIAFA NA KIMATAIFA. NA YEYE NDIYE ANAHODHI BIASHARA YA UWAKALA WA MAELI ILIYOKUWA IMESHIKWA NA NASACO KAMPUNI YA UMMA. nI KWA KUTUMIA KUHODHI BIASHARA YA UWAKALA WA MELI KATIKA AFRIKA MASHARIKI NA KATI IKIWEMO TANZANIA, KENYA, SOMALIA N.K HIVYO KUPITIA KWAKE NDUGU ZAKE WA KISOMALI HUPATA RATIBA NA KUFAHAMU SHEHENA YA MIZIGO ILIYOBEBWA NA MELI MBALI MBALI NA KUZIWEKEA MITEGO YA KUZITEKA NYARA KATIKA GHUBA YA SOMALIA ILI KULIPWA FEDHA KUZIACHIA.
UJIRA WA MASKKINI WA KISOMALI WANAOTUMIKA KUFANIKISHA UTAKAJI NYARA MELI NI KUVUSHWA KUTOKA SOMALIA KWENDA AFRIKA YA KUSINI BAADA YA KUMALIZA KIPINDI FULANI CHA UTEKAJI NYARA MELI WENYE MAFANIKIO. HIVYO KINANA NDIO HUSIMAMIA MTANDAO WA KUWAVUSHA WASOMALI KUPITIA KENYA, TANZANIA, MALAWI N.K HADI AFRIKA YA KUSINI KWA KUTUMIA FEDHA ZITOKANAZO NA UTEKAJI NYARA MELI KUWAHOINGA MAAFISA UHAMIAJI, POILIS N.K ILI KUWAVUSHA WATEKAJI NYARA MELI WAKE .
CCM NI MAFISADI TUU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
MWENYEKITI wa kampeni ya mgombea urais wa CCM, Abdulrahman Kinana juzi alisema kwamba wapinzani hawana jipya.
Alitoa kauli hiyo wakati akimnadi kwa wananchi wa Arusha mgombea ubunge wa tiketi ya CCM, Dk Batilda Buriani.
Alisema,Dk Batilda ni ‘lulu' kwa wananchi wa jimbo hilo na hivyo wanapaswa kumpa kura zote ili awe Mbunge.
Kinana alisema,wapinzani wanazungumzia tatizo la ufisadi na ubadhirifu ambayo yameshashughulikiwa na serikali ya CCM na wao wanayarudia tu.
Kinana alisema hayo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya mgombea huyo wa CCM na kuwasihi wananchi wa Arusha kutofanya kosa kuiachia lulu na hazina hiyo.
Alisema, kuna watu watapita huko na kule kueleza ubaya wa mgombea wa CCM lakini nyie msidanganyike kwa maneno yao kwani kila kukicha wanazua mapya yasiyokuwa na kichwa wala miguu.
"Wapinzani hawana jipya kwa sasa wasikilizeni na muwaache hapo hapo wala msiwafikirie kwani mtaumiza vichwa bure," alisema.
Dk. Buriani aliwaomba wananchi wa Arusha wamchague yeye awe Mbunge wa jimbo la Arusha kwa sababu wana uhakika wa kuweka Jiji la Arusha katika hadhi ya kimataifa zaidi.
Kauli zingine zinajieleza mojakwa moja huda shida ya kufikiri saa.MWENYEKITI wa kampeni ya mgombea urais wa CCM, Abdulrahman Kinana juzi alisema kwamba wapinzani hawana jipya.
Alitoa kauli hiyo wakati akimnadi kwa wananchi wa Arusha mgombea ubunge wa tiketi ya CCM, Dk Batilda Buriani.
Alisema,Dk Batilda ni ‘lulu' kwa wananchi wa jimbo hilo na hivyo wanapaswa kumpa kura zote ili awe Mbunge.
Kinana alisema,wapinzani wanazungumzia tatizo la ufisadi na ubadhirifu ambayo yameshashughulikiwa na serikali ya CCM na wao wanayarudia tu.
Kinana alisema hayo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya mgombea huyo wa CCM na kuwasihi wananchi wa Arusha kutofanya kosa kuiachia lulu na hazina hiyo.
Alisema, kuna watu watapita huko na kule kueleza ubaya wa mgombea wa CCM lakini nyie msidanganyike kwa maneno yao kwani kila kukicha wanazua mapya yasiyokuwa na kichwa wala miguu.
"Wapinzani hawana jipya kwa sasa wasikilizeni na muwaache hapo hapo wala msiwafikirie kwani mtaumiza vichwa bure," alisema.
Wapinzani hawana jipya
MWENYEKITI wa kampeni ya mgombea urais wa CCM, Abdulrahman Kinana juzi alisema kwamba wapinzani hawana jipya.
Alitoa kauli hiyo wakati akimnadi kwa wananchi wa Arusha mgombea ubunge wa tiketi ya CCM, Dk Batilda Buriani.
Alisema,Dk Batilda ni ‘lulu' kwa wananchi wa jimbo hilo na hivyo wanapaswa kumpa kura zote ili awe Mbunge.
Kinana alisema,wapinzani wanazungumzia tatizo la ufisadi na ubadhirifu ambayo yameshashughulikiwa na serikali ya CCM na wao wanayarudia tu.
Kinana alisema hayo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya mgombea huyo wa CCM na kuwasihi wananchi wa Arusha kutofanya kosa kuiachia lulu na hazina hiyo.
Alisema, kuna watu watapita huko na kule kueleza ubaya wa mgombea wa CCM lakini nyie msidanganyike kwa maneno yao kwani kila kukicha wanazua mapya yasiyokuwa na kichwa wala miguu.
"Wapinzani hawana jipya kwa sasa wasikilizeni na muwaache hapo hapo wala msiwafikirie kwani mtaumiza vichwa bure," alisema.
Dk. Buriani aliwaomba wananchi wa Arusha wamchague yeye awe Mbunge wa jimbo la Arusha kwa sababu wana uhakika wa kuweka Jiji la Arusha katika hadhi ya kimataifa zaidi.
Source:Habari Leo.
Ni kama TV shows za msimu.Kinana usiumie kichwaaaa.Mbona wananchi tunajua.Wafa maji wanatapatapa.Viva CCM.

Hao wanajua kuwa KINANA KICHWA CHA CCM ndio maana wanaleta mashambulizi Binafsi.Kinana msomi wa Harvard sio kama Mbowe Form Four au mgombea mwenza wa Chadema Said Mzee MSOMI WA Darasa la saba.na muimba kwaya bwana Slaa.
Voyeur!
Na kina maji marefu,elimu ya NGUMBARO na waganga wa kienyejiHao wanajua kuwa KINANA KICHWA CHA CCM ndio maana wanaleta mashambulizi Binafsi.Kinana msomi wa Harvard sio kama Mbowe Form Four au mgombea mwenza wa Chadema Said Mzee MSOMI WA Darasa la saba.na muimba kwaya bwana Slaa.
nimetaka kushangaa iweje tumefika mchana Kinana hajatajwa wala hajaanzishiwa thread
nadhani ikifika jionikutakuwa na threads kama 5 tofauti za Kinana na kesho itakuwepo nyingine
Kumekucha tanzania
Nyani haoni kundule!Na kina maji marefu,elimu ya NGUMBARO na waganga wa kienyeji