Kinana na kundi lake hawaiwezi CCM ya Nyerere.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa kwenye
ziara ya Mkoa wa Mbeya mwishoni mwa mwaka jana alitangaza waziwazi kwamba yeye anataka CCM ya waanzilishi, yaani ya Mwalimu Julius Nyerere na Mzee Abeid Amani Karume irudi.
Anasema CCM lazima ipinge unyonyaji, ukabaila uzembe na ufisadi kwa nguvu zote.
Anasema viongozi wa CCM lazima waitishe vikao vyote vya kikatiba kuanzia mashina, matawi, kata, wilaya na mikoa kama ilivyo kwa vikao vya kitaifa.
1.CCM ya Nyerere ilisema nini kuhusu Lowasa na CCM ya kinana inafanya nini kuhusu Lowasa
2. CCM ya Nyerere ilisema nini kuhusu ujangiri na kwa kuonyesha kwamba haikuwa na mzaha kuhusu hilo ilimfanya nini Mbunge wa Songea mjini bwana Kazeharabi? Si Kinana huyo huyo anaambiwa akae mbali na Tembo, Kinana huyo huyo aliwahi sema meli yake ila pembe siyo za kwake, pia aliwahi sema kuwa mchuzi alikunywa ila nyama hakula
3.CCM ya Nyerere alikuwa inafanya nini kuhusu wagombea wasio na chembe ya uadilifu kama akina ADEN RAGE au ANDREW CHENGE? CCM ya Nyerere ilikuwa nan uvumilivu na watu hao, aulizwe RAGE CCM ya Nyerere ilimfanya nini pale alipoongoza kura za maoni Tabora mjini mwaka 1995.
4. CCM ya Nyerere ilikuwa ni ya wanyonge, wakulima , wafanyakazi , wavuvi na wakwea minazi, akane Kinana CCM yake kama haijawa ya matajiri , wafanyabiashara na wakwepa kodi.Wanyonge hawana lao katika CCM ya Kinana hebu aje hapa abishe.
Kinana tafadhari ukome kulinganisha CCM yako na ya Nyerere.