Kinana, Nape kung'oka CCM

Kinana, Nape kung'oka CCM

Nibozali

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
572
Reaction score
1,055
Hatimaye Kinana na Nappe sasa kung'oka CCM

Chanzo: gazeti la Tanzania Daima la leo
Mwana CCM mwenzangu Una maoni gani juu ya hili?

15.jpg
 
wang'oke tu hamna namna maana wanakichafua chama kwa tuhuma walizonazi
 
Hata waking'oka bado watakaoletwa watakuwa mchwa tu, ccm ni kizazi cha mchwa
 
OSOKONI Umesha sema kwamfano
Unatakaje tena!!?
Wewe unaishi kwa mfano wa binadamu kamili
Lakini sio kamili
Hujakamilika kichwani.
Umeelewa mfano!!?
 
Umesha sema kwamfano
Unatakaje tena!!?
Wewe unaishi kwa mfano wa binadamu kamili
Lakini sio kamili
Hujakamilika kichwani.
Umeelewa mfano!!?

Bao LA mkono
Kutorosha wanyama

Hizi tuhuma zinatosha kuwaondoa chamani. Waondoke kama mnawakaribisha huko kwenu poa
 
Walikuwa wanadhani watabaki madarakani milele, huo ndio mwanzo wa kuagwa baadaye watatupwa na kusahaulika.
 
Katika mchuano Tanzania tumeongoza katika uongo duniani, nyanja iliyotazamwa inatia ndani siasa, kwangu mimi kila kitakachofanywa sasa hivi ni komedi tu mpaka siku nitakapoingia web ya utumishi na kukuta ajira ndiyo nitaelewa.
 
Back
Top Bottom