Kwetu wapi?
wewe mbona haueleweki, kuna muda unakuwa mfuasi Wa lipumba muda mwingine ccm
Kwetu wapi?
Nimecheka sana nilipoona habari ya Nape na Kinana imepewa kipaumbele kuliko habari ya Lowassa. Nimecheka zaidi nilipoona Lowassa akitegemea kushinda 2020 (kutoka safari ya matumaini hadi ndoto ya matumaini)Hatimaye Kinana na Nappe sasa kung'oka ccm
Chanzo: gazeti LA Tanzania Daima LA leo
Mwana ccm mwenzangu Una maoni gani juu ya hili?
https://4.bp.blogspot.com/-Dv7rZ4NX...ZW0Mzu8cpeDR7Qus3_e9d2Q6SWocACEw/s1600/15.jpg
Nimecheka sana nilipoona habari ya Nape na Kinana imepewa kipaumbele kuliko habari ya Lowassa. Nimecheka zaidi nilipoona Lowassa akitegemea kushinda 2020 (kutoka safari ya matumaini hadi ndoto ya matumaini)
He he usiwe mnafikiwewe mbona haueleweki, kuna muda unakuwa mfuasi Wa lipumba muda mwingine ccm
Subiri ndipo utapoliheshimu gazeti linalotegemewa na wachangiaji wakubwa wa kodi(Walevi)Chanzo Gazeti LA wanywa viroba!!
Nawe umekosa kazi
Yaani unakula ugali kwa Picha ya samaki gazetini!!!
Unaota ukitembea weweLinalizidi lile la kuchambia kwa mauzo! Kile kipeperushi chenu hata wanaccm wenzenu hawakinunui tena! Limebaki kutumika kama mbadala wa TP hapo Lumumba!
Hatimaye Kinana na Nappe sasa kung'oka CCM
Chanzo: gazeti la Tanzania Daima la leo
Mwana CCM mwenzangu Una maoni gani juu ya hili?
![]()
Hivi Mbowe naye kauza mashine za uchapishaji kama chuma chakavu? Nijuavyo zile za Lumumba hazijarudi pamoja na mwenye kigoda kuagiza zirudishwe. Tuliko kuwa tunaelekea ofisi ndogo tungekuja sikia imeuzwa kwa ubia na Manji ndio mdau 49%atskayefuata ni mbowe. Maana anakiibia mno chama
What a stupid comment,re post it on instagramatskayefuata ni mbowe. Maana anakiibia mno chama
realBado Bashe na Msukuma