Kinana: Lowassa ni Rafiki yangu

 

Kweli jamaa EL hatari, japo sina hakika kama Kinana alimuita Lowasa wa kufa, lakini Lowasa hatari, yeye hatofautishi siasa na maisha ya kawaida anakupeleka tu kuzimu na kama alivyosema Kinana labda ana nongwa. Obama liwaambia wamarekani kuwa Trump hafai kuwa hata muuza duka lakini leo ndiye anyewaambia wamarekani kuwa USA itakuwa salama na itastawi chini ya Trump. Trump aliyemwita Clinton liar and nasty woman leo anawaambia wamarekani kuwa Clinton ni mwanamke shupavu aliyepigana na asiyekubali kushindwa, wamerekani wamuheshimu na waienzi kazi aliyowafanyia wamerakani kwa Zaidi ya nusu ya maisha yake. Lowasa yeye anawapeleka tu, shauri yake na Mungu wake....
 
Kuna yule alikoswakoswa ajali ya gari kusini mwa Tanzania.

Lkn pia kuna huyu anayemtakia kifo mkuu wa nchi. Naye tunasubiri majibu ya Mungu
 
naona kinana,baada ya kukataliwa kujiuzuru ukatibu mkuu wa ccm,kaamua kuja na mbinu mpya ambayo itamfanya mwenyekiti wa ccm Taifa amfukuze mapema akapumzike

anyway,siasa sio uadui hasa kama una miradi yako hutegemei mshahara wa lumumba kama ole sanduku
 


Asema wameshapigiana simu Mara nyingi toka uchaguzi umalizike 2015

Asema wamekutana pia Mara nyingi kuongea mambo mbali mbali.

Akiri wataendelea kuwa marafiki wa kweli kwa muda mrefu ujao .
CCM wapo kila kona
 


Asema wameshapigiana simu Mara nyingi toka uchaguzi umalizike 2015

Asema wamekutana pia Mara nyingi kuongea mambo mbali mbali.

Akiri wataendelea kuwa marafiki wa kweli kwa muda mrefu ujao .
Li wapi jema enyi wanadam
 
MaCCM mengi ni majitu ya hovyo sana, ila Kanali Kinana pamoja na "Tuhuma mbali mbali" anazohusishwa nazo mitandaoni bado mimi huwa namuheshimu kwa jinsi anavyofanya siasa zake.. Nadhani ni miongoni mwa watu walioivishwa na Hayati Baba wa taifa katika ulingo wa siasa.. Yuko tofauti sana na maCCM mengi ambayo yanafanya siasa za majitaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…