Kinana kuhutubia Singida Mjini kesho tarehe 25th May, 2014

Status
Not open for further replies.

security guard

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
773
1,000
 • Mawaziri wa Wizara Nne kuhutubia
 • Waziri wa Ujenzi,Waziri wa Uchukuzi,Waziri wa Mali Maliasili na Utalii na Waziri wa Maji
 • Wengine ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mwigulu Nchemba na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye
 

Attachments

 • 12.jpg
  File size
  203 KB
  Views
  116

mjepo

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
4,917
1,225
Kinana ni zaidi ya kiongozi anawatumikia vema watanzani ndiyo aina ya kiongozi anayetakiwa kuwa katibu wa chama cha siasa.
 

mjepo

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
4,917
1,225
Kesho watu wa singida watapata elimu ya uraia kubwa sana toka kwa kinana,
huyu mzee anamuogopa sana kinana akisikia jina la kinana hata chini ya meza anaingia.
 

Haki sawa

JF-Expert Member
Oct 3, 2007
4,700
2,000
image.jpg Hii pembe alimnyanganya huyu kijana eti anaenda kuziboresha kumbe alihisi kuwa ni pembe ya Tembo ....airudishe kwanza ....
 

nkongu ndasu

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
22,523
2,000
Magufuli aangalie, hakawii kusema mkiichagua ccm namalizia kujenga kitu fulani..., nimekumbuka ya igunga!
 

chuki

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,703
1,500
 • Mawaziri wa Wizara Nne kuhutubia
 • Waziri wa Ujenzi,Waziri wa Uchukuzi,Waziri wa Mali Maliasili na Utalii na Waziri wa Maji
 • Wengine ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mwigulu Nchemba na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye

Nimepata taarifa kuwa Stephen Masato Wassira"Tyson" atakuwepo kuwapa darasa wanasingida kuhusu kikundi cha kihuni kinaitwa UKAWA.
 

Gwalihenzi

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
5,126
2,000
Mkuu watu wote hawa kweli wanafuta porojo kuwa muungwani ogapa dhambi.


Mikutano ya CCM malori ni lazima! baadae unapewa sahani ya wali bila kusahau fulana na kofia! Ukitoka hapo mafua na kikohozi kikali kitakushika, ukienda zahanati ya kijiji utaambiwa dawa zimeisha labda ukatibiwe kwa mganga wa jadi.
 

MwanaDiwani

JF-Expert Member
Mar 22, 2013
5,535
1,195
Karibuni sana kwenye mkutano wa kulijenga taifa katika nyanja za kifikra, kiutendaji na kimaendeleo
 

bujash

JF-Expert Member
Aug 9, 2013
3,468
0
Karibuni sana kwenye mkutano wa kulijenga taifa katika nyanja za kifikra, kiutendaji na kimaendeleo

Hawana jipya hao wezi wa raslimali za taifa letu,Taifa lenye raslimali kibao wameligeuza taifa la watu maskini hohehahe. Tunaomba watueleze ni lini wataacha kuua tembo wetu,Ni lini wataacha kuchafua image ya taifa letu kwa biashara zao za unga,Ni lini watarudisha nyumba zetu za umma walizogawana na viwanda vyetu walivyouziana kwa bei za kutupa na kuvigeuza magodauni ya kuhifadhi mali zao chafu za magendo? Ni lini wataanza kuheshimu maoni ya wananchi kama haya tuliyotoa kwenye rasimu ya Warioba? Tunataka majibu ya kina na si porojo mlizozoea kuwalaghai watz maskini wasiokwenda shule.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom