Wana JF taarifa zikizopo ni kuwa katibu mkuu wa CCM bwana Kinana atagombea ubunge katika jimbo la Lema mwaka 2015,hivyo wagombea wote na Lema mjiandae kisaikolojia,linakuja jembe
Haha..alipona kuaibika enzi ya Buriani,,,,,sasa anataka rudi..Kwanza atabidi awathibitishie watanzania kuw akeshakuwa raia....na ana sifa za kugombea, halfu akajibu hoja na kuahidi kurudhisha tembo wetu....etc...ndipo akasikie NGURUMO ZA KING LEMA.Wana JF taarifa zikizopo ni kuwa katibu mkuu wa CCM bwana Kinana atagombea ubunge katika jimbo la Lema mwaka 2015,hivyo wagombea wote na Lema mjiandae kisaikolojia,linakuja jembe
Hivi ule usemi unaosema kama wewe ni jembe basi kubali kuchomekewa mpini ni kweli!!?Kinana ni jembeeeee
teh teh, na kinana akishinda mpeni ile wizara ya Ndovu ili awinde kirahisi!Lema aanze kujiandaa na jiwe la fatuma lile kuvunjia milango
Kwa nini msimtume jk au lowasa? ARUSHA wanajitambua! Sio kama ndugu zangu wa kusini...