Kinana kufanya mkutano mkubwa Nduguti wilaya ya Mkalama

HARAKATI-1

Senior Member
Oct 17, 2012
106
195
Katibu mkuu wa chama tawala leo hii anafanya mkutano mkubwa wilayani hapa na kumpoke kijana mamachari katika siasa EXAUD YESASA ambaye ni miongoni mwa vijana wachache jasiri walioanzisha jumuiya ya vijana wa chadema CHASO chuo kikuu cha dar es salaam.

Pia katibu anatarajia kuwaambia wananchi juu ya maendeleo yanayofanywa na chama cha mapinduzi CCM
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom