Kinana, katika ziara zako za vikao vya ndani waulize wana CCM hivi

Wimbo

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
783
525
Comred Kinana ukisha maliza mikutano ya hadhara katika ziara zako kutana na wanachama wa CCM vikao vya ndani waulize, chama kinavyoenenda kama tukiweka katiba mpya na uchaguzi ulio huru na haki tutashinda 2025?

Tena ukiweza waulize wanachama wa kawaida kwa sababu viongozi watakudang'anya.

Majibu utakayoyapata mshauri Mama aanze mapema. Ulijitahidi sana 2014 kunusuru chama lakini sasa hivi elasticity iko beyond moving.
 
Acha ndoto ukiwa umekaa halafu unaleta hapa, Kazi ya tume Ni kumtamgaza aliyeshinda kwa kupigiwa kura nyingi na wananchi,

Sasa nyinyi chadema mtapigiwa kura na Nani? Kwa Sera na ajenda zipi? Kwa ushawishii gani mlionao kwa Sasa? Kwa Sasa wananchi hawana habari na nyinyi ndio maana mmepuuzwa na hamuungwi mkono kwa chochote mtakachosema maana imeshajulikana kuwa nyinyi Ni wababaishaji tuu
 
Wanaenda kupasuka
 
Wa kuhurumiwa tu wewe!
 
Huwa una kaujinga fulani hivi amazing!Unaifikiria CCM kuliko kizazi cha kizazi chako.CCM is a failure,dude!Unajichoresha weye!Tunatafuta kujikwamua halafu weye akili zako zinaiwaza CHADEMA tu.Moron!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…