KINANA azidi kuitaabisha CHADEMA

Kalien hizohizo siasa za 47 kujtia moyo na kujazana iman za kijnga;mnaendelea kuliwa mbuz nyie eti(kumpakazia uongo wizi wa tembo)unazo kwel ww au bado unatongotongo??
 
mleta mada bado hujafanikiwa ulichotumwa, kajipange tena@mbururas
 

Du Mheshimiwa, wazi wazi kabisa unajipendekeza kwa kinana kutokana na position yake katika chama, usomi wake wa havard ndio mmeujua leo? na isitoshe nilitegemea msomi kama wewe utupe sifa zenye kueleweka za kinana kama kiongozi katika taifa hili, huwa inanipa shida sana ninaposoma comments za wasomi wa ccm
 
Kinana ni Tembo dentist na ameshindwa kukanusha, ndio maana anafanya njama za kifisadi dhidi ya Lissu maana anajua issue yake ya kuua Tembo itazidi kuongelewa bungeni.
 
ila wewe ndiyo.............. kweli kwa akili yako undhani chadema inakufa au inapaa jaribu kutafakari kwa kina hadi sasa kina wabunge wangapi linganisha na 1995, 2000 kisha 2005

miaka hiyo watu waliaamini NCCR - Mageuzi kisha CUF ambao walizimia mapema zaidi miaka 2 tu baada ya uuchaguzi mkuu ndiyo kisa cha kuitwa vyama vya msimu

we huoni ni ujasiri wa hali ya juu sana chama cha upinzani Tanzania kuwa nguvu hata baada ya miaka 3 baada ya uchaguzi????? huoni kama huo ni umaarufu unao ongezeka/kukua

unless hutumii akili kufikiri
 
kuwa msomi wa Harvad siyo issue Tanzania mpo wasomi wengi sana chini ya CCM na ndiyo mliyotufikisha hapa tulipo penye umaskini mkubwa mno ilihali rasilimali tele tunazo
 
Akili ni nywele kila mtu ana zake.
 
Dr.make sure ukombozi Wa nchi hii unapatikana,,,,,,piiiiiiiiii,,,,piiiiiiiiii,,,poopooooooooz!!!!!!!!waaaaaaatuuuu,,,,,,,,pawaaaaaaaaa
 

Humu ndani wapo watu,ishi wengi wa Lumumba wanaojituma sana.

Kazi wanaoifanya ningeifanya hata mimi endapo tu ningekuwa na sifa zifuatazo:-
1. Ningekuwa sina akili wala utashi kiasi cha kufanya ujinga bila kujijua.
2. Ningekuwa sina hadhi ninayotakiwa niilinde mbele ya umma.
3. Ningekuwa masikini kiasi kwamba bila kulipwa shilingi 7000 za kuitukana CDM nisingeweza kuishi.
4. Laana ya wazazi wangu imenifanya nikawa kipofu na kiziwi nisiyeona wala kusikia matatizo na vilio vya watanzania wenzangu.
5. Ningekuwa rafiki mkubwa wa shetani na kwamba sina mpango hata kidogo wa kwenda Mbinguni.

Hizo ni sifa ambazo kama ningekuwa nazo ningeandika kama alichoandika ndugu yangu huyu na wenzake wote wanaotetea kwa bidii kiasi cha kutokwa mapovu uchafu, ufisadi na usaliti unaofanywa na CCM.
 

Ni havad ipi inayofundisha kuua tembo au ni kule kismayu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…