Kinana asikitishwa kuona wakulima wa tumbaku wanavyodhurumiwa

Taarifa hii imetolewa katika gazeti la mtanzania;katibu mkuu wa ccm akiwa sikonge amejikuta akibubujikwa na machozi kutokana umaskini mkubwa wawananchi na walima tumbaku wanavyo dhurumiwa huko sikoke unao fanywa na wafanya biashara huku serikali ya ccm ambae yeye ni katibu mkuu wa ccm ikiwa kimyaa na kutowasaidia;swali kwake;analia nini wakati ccm ndio wenye serikali?

Nyang'au....! Kauli za haya majangili yakiongozwa na Kinara huyu ni maibilisi waishio kati ya umma wa waTanganyika..., majangili haya yanaangamiza uchumi wa taifa na vizazi vyake kwa kumaliza tembo na maliasili zote, ...yanasimamia biashara za 'sembe' kuangamiza vijana wetu, ...yanafanya 'biashara za binadamu wenzake' na kuwasafirisha ktk makontena na kuvuna mabilioni ya hela...! yanaongoza chama cha waovu (ccm), sera zimeifikisha nchi karibu na ahera, chama kilichozama ktk wizi na ubadhirifu wa mali ya Umma...., yeye anatoa machozi???! Hayo ni machozi ya hamasa kwa mabilioni aliyokwisha kuvuna na kuficha nje huku akijua jamii imebaki wajinga, wanamsindikiza na kumsikiliza kila aendako na sio machozi ya uchungu ...! hawa wana-ccm wenzake wanajitokeza kwenda kumsikiliza ktk makusanyiko wanazo fikra sahihi au vipofu? ...tuwasaidieje? ...kuongozwa na akili ndogo ni laana!
 
Taarifa hii imetolewa katika gazeti la mtanzania;katibu mkuu wa ccm akiwa sikonge amejikuta akibubujikwa na machozi kutokana umaskini mkubwa wawananchi na walima tumbaku wanavyo dhurumiwa huko sikoke unao fanywa na wafanya biashara huku serikali ya ccm ambae yeye ni katibu mkuu wa ccm ikiwa kimyaa na kutowasaidia;swali kwake;analia nini wakati ccm ndio wenye serikali?

Kiswahili ni lugha yako ya Taifa, kienzi. Rekebisha.
 
Lakini mtaji huo wa unafiki unalipa, wananchi maskini na mbumbumbu wakiona hayo machozi ya unafiki wanaona ni mwenzao.
Mkuu Kaunga umenena vema. Watu wa Tabora umaskini kwao ni kitu cha kawaida sana. Ndio maana hawana hata mbunge mmoja wa upinzani katika mkoa wao. Waache waendelee kudanganywa, umaskini utawamaliza hali Kinana na viongozi wenzake wa CCM ni mabilionea wa kutisha
 
Wanafiki kupindukia huwa najiuliza je jehanamu itakua moja au zitatofautiana. Anaujua ukweli na amewaona watz wengi tu huko vijijini wakiwa na hali ngumu mahala pengine hakuna hata barabara halafu anajifanya kulia. Hawapaswi kuwekwa jehanamu moja na wezi wa kuku, bora waandaliwe ya kwao.
 
Jamani samahani kwa atakayekwazika, Nijuavyo asili ya mnyamwezi ni mnafiki,mchoyo na mwongo. Tena wizi ni jadi yao,
 
Mkuu Kaunga umenena vema. Watu wa Tabora umaskini kwao ni kitu cha kawaida sana. Ndio maana hawana hata mbunge mmoja wa upinzani katika mkoa wao. Waache waendelee kudanganywa, umaskini utawamaliza hali Kinana na viongozi wenzake wa CCM ni mabilionea wa kutisha
Ndio maana pamoja na Umasikini wao bado walimchagua mtu aliekulia na anaeishi DSM kua Mbunge wao wa Igunga badala ya Mwalimu na Mkazi mwenzao Kashindye wanaishinda nae muda wote.

Umasikini wa Akili utatumaliza Watanzania!!
 
Wanafiki kupindukia huwa najiuliza je jehanamu itakua moja au zitatofautiana. Anaujua ukweli na amewaona watz wengi tu huko vijijini wakiwa na hali ngumu mahala pengine hakuna hata barabara halafu anajifanya kulia. Hawapaswi kuwekwa jehanamu moja na wezi wa kuku, bora waandaliwe ya kwao.

Jehanamu ni Moja tu Mkuu,

Ila hawa jamaa wao watakua chini kabisa, yaani ndio KUNI kwa wenzao, wakati wengine kama ikitokea bahati mbaya tukaingia basi tutakaa juu juu kwenye moshi unapoishia ishia!!
 
Unafiki tu

Mnafiki tu,kwani sehemu yenye umasikini Tanzania hii ni Sikonge tu?Anajifanya eti anawaonea huluma kumbe anawachora tu.Anashangaa nn wakati waliwaahidi Watania Maisha bora kwa kila Mtanzania nayeye ndie mwenye ilani kabatini?.Anyway simulaumu Sana Kinana nawalaumu haohao wakulima kwa sababu Baba Asha Kura nyingi alizitoa huko,acha yawakute
 
Kazi ipo kubwa sana mbele yetu ya kulijenga Taifa...sasa kwanini hatuonyeshi ari na nia ya kufanya hivyo? Kwa mkoa wenye sifa kama Tabora, kwanini wana umaskini wa kutupwa namna ile? Mbona kama wana kila kitu wengine walichonacho? Au mastory yamezidi...maprofessor wengi, na washabiki wa timu za ndani wengi....mhhhh
 
Haelewi kwamb wao ndyo wanaofanya nch kuwa maskini..pochers epa richmond dowans iptl ten parcent nk kwhyo asishangae sna

Absolutely, wao wame set presidency na wengine wote wanakula hapo hapo walipo. Kama ngazi za juu wange pambana na ufisadi hata huko chini ungepungua sana. Lakini sasa ufisadi ni wazi wazi. Machozi ya Kinana hayamsaidii mkulima maskini, ataendelea kutafunywa na ufisadi as long as hii culture ya huyu ni mwenzetu inaendela. Unakumbuka Pinda naye aliwahi kulia? si albino wanaendelea kuwindwa mpaka leo? Haya machozi yao ni unafiki mtupu.
 
Sikonge kwa makamu M/kiti wa kamati ya kilimo,mpiga majungu wa kulipwa na mchawi wa kurithi anayewatishia wapiga kura wake kwa uchawi wake kuwaroga

S.Nkumba ambaye wilaya yake haina hata A.level moja ,wilaya ya mwisho kwa matokeo ya elimu kwa kanda nzima,sikonge ambayo haina hata tone moja la lami,yenye shida ya maji kama vile uko jangwa la karahali ...hiyo ndo Sikonge na simlaumu Kinana kwa kumwaga machozi!
 
Taarifa hii imetolewa katika gazeti la mtanzania;katibu mkuu wa ccm akiwa sikonge amejikuta akibubujikwa na machozi kutokana umaskini mkubwa wawananchi na walima tumbaku wanavyo dhurumiwa huko sikoke unao fanywa na wafanya biashara huku serikali ya ccm ambae yeye ni katibu mkuu wa ccm ikiwa kimyaa na kutowasaidia;swali kwake;analia nini wakati ccm ndio wenye serikali?
Oh My God!!! Have mercy on us, watanzania wanaibiwa sana,wanadanganywa ,wanahadaiwa,yaani ccm hiyo yenye serikali inajifanya kulia kwa wananchi... unafiki mkubwa sana sijawahi kuona ... nachukia sana unafiki huu ndugu zangu
 
Taarifa hii imetolewa katika gazeti la mtanzania;katibu mkuu wa ccm akiwa sikonge amejikuta akibubujikwa na machozi kutokana umaskini mkubwa wawananchi na walima tumbaku wanavyo dhurumiwa huko sikoke unao fanywa na wafanya biashara huku serikali ya ccm ambae yeye ni katibu mkuu wa ccm ikiwa kimyaa na kutowasaidia;swali kwake;analia nini wakati ccm ndio wenye serikali?

anania nini sasa kama sio unafiki ? Na alikuwa wapiku zote hizo mpaka aende leo?
 
Sikonge kwa makamu M/kiti wa kamati ya kilimo,mpiga majungu wa kulipwa na mchawi wa kurithi anayewatishia wapiga kura wake kwa uchawi wake kuwaroga

S.Nkumba ambaye wilaya yake haina hata A.level moja ,wilaya ya mwisho kwa matokeo ya elimu kwa kanda nzima,sikonge ambayo haina hata tone moja la lami,yenye shida ya maji kama vile uko jangwa la karahali ...hiyo ndo Sikonge na simlaumu Kinana kwa kumwaga machozi!

UKAWA inahitajika kuwatembelea na pengine kuwapiga semina ndogo (bila kudai posho) ili kuwafungua macho wana wa Sikonge. Who knows, wawili watatu wanaweza kukumboka kifikira!
 
Back
Top Bottom