Mzee Wa Sumu
JF-Expert Member
- Apr 17, 2013
- 643
- 68
kule ccm hawatoki
Ndugu yangu sasa umesheheni uongo kwani mikutano yote tumeiona live na hata ile ya Masasi pale uwanja wa fisi ulikuwa nyomi kweli kweli, newala pia mambo yalikuwa mazuri sana hata malatu na baadaye Newala mjini mambo yalikuwa nyomi ya kufa mtu.
Mnung'unwangu aneko kukaya vanu vaniuumbala na Nanga chama chochohe vakukaya chivapendicho Kama CCM!
Muongoo wewww ok tupia picha acha kupotosha mtoa madaa Malaya wa chadema mkee wa mbowe
Ningeshangaa iwapo wananchi wa Mtwara wangekusanyika kumsikiliza huyo Msomali.
Muongoo wewww ok tupia picha acha kupotosha mtoa madaa Malaya wa chadema mkee wa mbowe
Kwa taarifa nilizo pata hivi punde ni kwamba kinana ana pata wakati mgumu mkoani mtwara mikutano yake imedoda na imesusiwa na wananchi.
Itakumbukwa katikati ya mwaka jana wananchi wa Mtwara walikumbwa na balaa la kuchezea kichapo kutoka kwa serikali ya CCM kupitia kwa jeshi la wananchi na jeshi la polisi kufuatiwa na harakati zao za kutaka gesi inufaishe wazawa.
Sasa hv wanakodisha magari,boda boda mnapewa elf.kumi hadi ishirini na wanawawekea mafuta ili kujaza mkutano