Kinana apata wakati mgumu Mtwara

Kinana apata wakati mgumu Mtwara

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,493
Reaction score
12,453
Kwa taarifa nilizo pata hivi punde ni kwamba kinana ana pata wakati mgumu mkoani mtwara mikutano yake imedoda na imesusiwa na wananchi.

Itakumbukwa katikati ya mwaka jana wananchi wa Mtwara walikumbwa na balaa la kuchezea kichapo kutoka kwa serikali ya CCM kupitia kwa jeshi la wananchi na jeshi la polisi kufuatiwa na harakati zao za kutaka gesi inufaishe wazawa.
 
Weka picha mkuu vinginevyo mmbea.
 
Ndugu yangu sasa umesheheni uongo kwani mikutano yote tumeiona live na hata ile ya Masasi pale uwanja wa fisi ulikuwa nyomi kweli kweli, newala pia mambo yalikuwa mazuri sana hata malatu na baadaye Newala mjini mambo yalikuwa nyomi ya kufa mtu.

Mnung'unwangu aneko kukaya vanu vaniuumbala na Nanga chama chochohe vakukaya chivapendicho Kama CCM!
 
Wako vakuchema chili nangu ngunikumala haya bwana!
 
Hana hasara hata wnanchi wasipoenda kumsikiliza hakuna taabu. Ccm imeshakufa subiri uchaguzi
 
Ndiyo maana Tandale one haleti tena picha za mikutano.
 
Kazi waliyobakiwa nayo ni kuagiza GreenGuard wachane bendera za CHADEMA na CUF hata kama wao wanasema CCM imeshika hatamu
 
Kwanza wamestahi sana.ni kati ya wanasiasa hatari sana hapa nchi.
mtu asiyeona aibu kudanganya ama kusema uongo.anatembea nchi nzima anailalamikia serikali kama mpinzani kana kwamba siku hizi kuna CCM mbili....anahoji ujinga kabisa bado watu wanamvulia.lkn hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha..
mwisho wake umefika!!!!
 
Kama kawaida mwendo mdundo. Wasipokuja mkutanoni wa Masasi tutawaleta wa Tunduru
ImageUploadedByJamiiForums1417267168.724778.jpg
 
Nimeona Hawa ajaambatana na KINANA mtwara vijijini ameogopa wananchi
 
Muongoo wewww ok tupia picha acha kupotosha mtoa madaa Malaya wa chadema mkee wa mbowe
 
Na yeye kujiamini kumemzidi. Ile mentality ya ujinga wa watanzania inamdanganya. Arudie tena baadhi ya mikoa alikokwisha pita aone kama hajapigwa mawe.
 
Na yeye kujiamini kumemzidi. Ie mentality ya ujinga wa watanzania inamdanganya. Arudie tena baadhi ya mikoa alikokwisha pita aone kama hajapigwa mawe.

umeandika ukweli sana .
 
Back
Top Bottom